Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nisaidieni kuziuliza mamlaka husika,miaka mingi sasa imeipita na sijawahi kusikia mamlaka husika zikitaja ni kiasi gani cha dawa za kulevya zimekamatwa hadi kufikia hii leo? Wasiwasi wangu ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Tanzania, Mbunge ambaye ni mlemavu wa macho, Zuleikha Yunus Haji, amewasilisha taarifa ya ripoti ya kamati. Alikuwa anawasilisha ripoti ya kamati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna sehemu niliona Topic ya Maisha bora kwa kila Mtanzania nimeitafuta nimeikosa sijui imepotelea wapi. Haya ndo maisha yetu sisi wadanganyika hii ni moja kati ya Zahanati hapa hapa Tanzania...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna taarifa zimevuja hasa baada ya wale vijana wa malawi ambao walioana kuachana kwamba walifadhiliwa na mawakala wa UN kupitia shirika la UNFPA. Kuna taarifa pia kuwa makakati wa UN ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mie nashangaa, kuna watu akiingia ****** kujisaidia hukaa kuanzia nu saa hadi saa nzima!! Huwa nashangaa wanafanya nini muda wote huo kama ni haja kubwa ikitoka si basi ikija tena si...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nina ndugu yangu ambae amefariki, na imekujakugundulika siri zake nyingi alikuwa amezihifazi kwenye Email yake. Hivyo naomba msaada kwa yeyote mwenye kufahamu namna ya kugundua password kesheria...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari ya Jumapili? Siku moja moja Obuntu hufanya maamuzi ya kutembea kutoka Mabagala Rangi Tatu (anakoishi) hadi Mbagala mission (Saint Anthony) : Kama sehemu ya kunyoosha vioungo na pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UK traffic congestion charges spark debate By Jaston Binala 3rd July 2010 The government has said it does not owe the British Government unpaid traffic congestion charges slapped on...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MegaPyne
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi DAR ES SALAAM JUMAMOSI JULAI 3, 2010 Askari polisi mmoja ambaye ni Mkufunzi wa Tanzania police Academy, Konstebo Noel Paul Jenga33), amejiua leo kwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ni kwamba wanafunzi hao ambao wamehitimu degree ya sheria na kujiunga na Law skul hawaelewi mambo yanavyoenda kuhusiana na mikopo. Wanadai wanaishi katika mazingira magumu sana yanayowafanya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1) Slow and steady wins the race Gasoline mileage drops off in most cars once you're going faster than about 60 mph (see chart at left). For every 5 mph you drive over 60 mph, you're essentially...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima, ndugu zanguni wadada na wakaka wa hapa JF nawasalimu. Kwa baadhi ya majuma sikuweza patikana hapa jamvini, kwani nilikuwa eneo ambalo liko nje ya mtandao. Hivyo naomba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili jambo ni zito na si rahisi kama tunavyoaminishwa. Uchakachuaji wa mafuta ni tatizo la muda mrefu bali sasa limeonekana kuwa kubwa kwa sababu magari ya ikulu yamepata matatizo. Kumbukumbu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa Iceland, bi Johanna Sigurdardottir Tuesday, June 29, 2010 Baada ya bunge la Iceland kuipitisha sheria ya kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana, waziri...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Tutaacha lini kuwekeza katika anasa badala ya maendeleo? Thursday, 01 July 2010 10:29 Florence Majani Mwananchi NILIALIKWA katika kikao cha harusi. Wajumbe wakawa wanatoa michango kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali kumwaga pikipiki 400 kwa wajawazito na Salehe Mohamed, Dodoma SERIKALI imesema itanunua pikipiki 400 mwaka 2010/2011 kwa ajili ya kubebea wagonjwa ili kutekeleza Mpango wa Afya ya Mama...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mel Gibson uses racial slur - report Buzz Up! Oscar-winning director and actor Mel Gibson, who caused a media storm four years ago over an anti-Semitic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je ni vema watu wa bara kuhusika moja kwa moja kuchagua mgombea wa urais wa zanzibar kama CCM wanavyofanya? au wawaachie wenyewe mahamuzi yote?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya kuwasilisha maombi yao rasi Ewura, mamlaka hiyo nayo imetoa tangazo lifuatalo: TANGAZO KWA UMMA WITO WA KUKUSANYA MAONI YA WADAU KUHUSU OMBI LA TANESCO LA KUPANDISHA BEI YA HUDUMA YA...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wahadhiri wa vyou vikuu wametoa taarifa maalumu kwa umma kuhusu madai yao. Angalia hicho kiambatanisho. Tunawaomba wanafunzi wao wawasaidie kugoma kwa sababu wenyewe hawawezi wanaogopa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom