WanaJF
Our Children are dying
Statistics alarming
Who do they work for?
We (tax payers) pay their salaries and allowances
A lot of meetings, workshops,seminars have been held on the matter
BUT...
Wapendwa kuna habari zimetufikia kuna malori zaidi ya 18 yamekamatwa huko mpakani na rwanda kwa kuchanganya petrol /diesel na mafuta,..mbaya zaidi kati ya madereva wa malori 18 ni 4 waliobaki...
DPP amfutia mashtaka ya ufisadi kigogo wa Maliasili
Na Hellen Mwango, Nipashe
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam...
Jana nilienda kusali kwenye kanisa moja mitaa ya kati.
Huko mhubiri alikuwa bize kuuponda mchezo wa soka kuwa ni wa kishetani uliotawaliwa na uongo na hila.
Akasema mchezaji anapompiga chenga...
Court: Israelis suspected in 'Nigerian scam' can be extradited to U.S. - Haaretz Daily Newspaper | Israel News
The seven Israelis suspected of scamming tens of millions of dollars from U.S...
TAFAKURI JADIDI
Tanzania na Mexico: Simulizi ya nchi mbili!
Johnson Mbwambo
Juni 16, 2010
YAWEZEKANA kichwa hicho cha leo cha makala yangu kimekuchanganya, lakini nimeona nimuige...
Mpaka sasa siamini kweli ati vyura wamesababisha ujenzi wa mtambo wa kufua umeme mto malagalasi mkoani Kigoma kufutiliwa mbali na hawa wamarekani,Kitu cha kujiuliza hivi tunapata faida gani kwa...
Na Hellen Mwango
17th June 2010
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuachia huru Naibu Mkurugenzi...
Zitto Kabwe agombee ubunge jimbo la Igunga
Ni ukweli usiofichika kuwa Mbunge wa Igunga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz, hujulikana na baadhi ya watu kuwa "The most powerful man...
Oil giant BP is to put $20bn (£13.5bn) in a compensation fund for victims of the Gulf oil spill and will not pay shareholders a dividend this year.
Barack Obama announced the compensation deal...
The deaths happened on Saturday near the capital Mogadishu when members of the Hizbul Islam group stormed a house where people were watching Nigeria play Argentina.
A further 10 people were...
Critics dont think former president helped Tanzanian journalism
Mkapa
Former Tanzanian President Benjamin William Mkapa is a former respected journalist, which is why he was invited as one of...
Sakata la Wachina wanaojizolea dhahabu Chunya 'lanoga'
Felix Mwakyembe, Mbeya
Raia Mwema
Juni 16, 2010
Serikali yakiri kutopata kitu
Wananchi wadai kuathirika kisaikolojia na kiafya
Mkuu...
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni wavivu wa kufikiri, hali ambayo kila mwaka inawafanya...
UINGEREZA imeendelea kuiweka serikali kwenye hali ngumu baada ya kuieleza kuwa tabia ya kutegemea misaada ya wahisani pekee kwa shughukli za maendeleo hakitaisaidia nchi kujikwamua kiuchumi...
Katika siku za hivi karibuni nimeshuhudia vifuniko ambavyo vinatumika kufunika bia za TBL vikiwa na kutu kwa kiwango kikubwa. Bia ambazo nimekumbana nazo binafsi ni Kilimanjaro na Ndovu ambapo...
Habari wadau,
nauliza hivi juzi kulikuwa na msiba wa mke wa Ben Mengi,sasa ulivyotangazwa kwenye vyombo vya IPP na Raisi wa nchi yetu Kikwete kukatiza shughuli za nchi na kuudhulia je uyu Ben...
Wahusika watajwa, ni Waarabu
Waporomosha maghorofa Kariakoo
Washirikiana na vigogo, maofisa wa TRA
TAARIFA zimekuwa zikimiminika chumba cha habari cha Raia Mwema kuelezea zaidi mtandao wa wizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.