Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani kwa wale ambao ni wapenzi wa kupita huu mtaa ili kukwepa foleni kuweni waangalifu mana leo hii rafiki yangu kapita ule mtaa akakuta magari yameshona so since ile njia ni no entry kutokea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakutaka radhi Baba_Enock, hii post yako inmeipenda na nimeinyofoa kule kwa dada(MTUCTA) aliyehongwa gari na boss wake! Wadau naomba tuijadili separatelymake foleni za magari kweli zimezidi...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari za kuaminika ni kuwa shirika la ndege ATC limeshindwa kufanya safari zake kutokea Dar kwenda Kigoma tangu tarehe 10 May 2010. Kwa mujibu wa mtu mmoja wa karibu aliyetakiwa kusafiri na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa CCM Taifa Mh Yusufu Rajab makamba wiki hii atafanya mkutano mkubwa wilayani Igunga ambapo atapokea maandamano makubwa. habari zaidi kutoka Igunga zinasema kuwa baada ya kupokea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kauli ya Mr Tim clarke kuwa hawajaona maendeleo yoyote kwa wakulima kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita. Sirikali imeamka usingizini na kuwa mbogo kuanza kumuandama Mr Tim Clarke...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtendaji Mkuu haivi na viongozi wa wizara Anafanya maamuzi makubwa bila baraka zao Waziri wa Wizara ya Miundo Mbinu, Dk. Shukuru...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Duh sijashangaa kusikia mh huyu ameamua kutangaza nia je ni danganya toto???
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Wadau, kuna habari kuwa serikali mpya ya uingereza imeamua kujipunguzia mishahara kwa 5% ili kupunguza bajeti ya madeni. Hivi hapa bongo kama mawaziri na watumishi wa serikali na wabunge...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika hotuba yake ya kwanza bungeni kwenye hitimisho alisema "Najua wahisani wetu na wawekezaji, ndani na nje .... wakitaka kujiridhisha iwapo nitavijaza viatu alivyoniachia Rais wetu mpendwa wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutakuwa na mkutano katikati ya mwezi huu huko Makao makuu ya ITU Nchini Uswizi , Moja ya mada itakayojadiliwa kwenye kikao hicho Ni Masuala ya Mtoto na Mtandao – Usalama Wake , Hii haiwezi kupita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Every so often, many NGOs are on the look out for invitation for proposals from Donors who are keen on funding programmes that fall in line with their missions in Tanzania, or their lack of it...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu tanzania tumekuwa kama wakiwa,tuna watawala hatuna viongozi. Hawasikii hawaambiliki.nasikia viongozi wa dini wana kikao na serikali sasa nawaomba wakae na rais [najua hawamwogopi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya asbh wana JF. Binafsi naona thread za Bifu zinatupotezea muda sana. Unajua watu wengine hatuna interest za TID wala Hashim na U super star wao its none of our business, sasa watu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
TUKIO la dereva teksi kufia kwenye Kituo cha Polisi cha Chang'ombe jijini Dar es Salaam limeingia sura mpya baada ya taarifa iliyoko kwenye kibali cha mazishi kilichotolewa na Idara ya Msajili wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Majeneza ya watoto watatu Noel, Rose na Anthony Thadeo Kihanda yakionekana katika ibada ya mazishi nyumbani kwao eneo la Kariwa kata ya Longuo B Manispaa Moshi mkoani Kilimanjaro jana.(Picha na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hoseah. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) imesema kuwa inatambua kuwepo kwa vitendo vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu; nimekuwa na pilika za hapa na pale na nilimiss zoezi la kwanza huko Dar; Wakati fulani niliambiwa kuwa muda umeongezwa; Je bado zoezi linaendelea ama nianze taratibu za kujiandikisha...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Siku ya malaria duniani pamoja na changamoto na mipango endelevu ni kuhakikisha kuwa vyandarua vinasambazwa kwa wingi ili kutokomeza malaria ifikapo mwaka 2013. Lakini wazungumzaji hakuna mahali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amemwapisha Jaji Damian Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Uongozi na wajumbe wa tume hiyo katika sherehe zilizofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Rais Kikwete akutana na UNDP Administrator Bibi Helen Clark Ikulu jijini Dar es salaam Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na UNDP Administrator Bibi Heken Clark ikulu jijini Dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom