Ni leo ndio kwa mara ya kwanza nimeona hili agizo la SUMATRA kwa wamiliki wote wa mashule wanaotoa huduma ya usafiri kwa wanafunzi wao, eti wanataka mabasi yote ya wanafunzi yapakwe rangi za...
Wakuu heshima kwenu,
Nilifika Tandale Sokoni majira ya saa 11, jioni nikiwa na ndugu zangu niliotoka nao Zanzibar, ambapo kesho yake alfajiri walitakiwa kuondoka kwenda nje ya nchi, sasa...
this is an important link that sheds sme light on genocide. babukijana, wacha, naomba kama mko europe au sehemu yenye fast internet muangalie hii testimony kwenye youtube
YouTube- Rwandan...
WATU wasiojulikana, majuzi usiku walivunja kioo cha gari ya matangazo iliyokuwepo katika msafara wa Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein aliyekuwepo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku tano...
If U were born on the 1st, 10th, 19th, 28th of any month U r number 1
If U were born on the 2nd, 11th, 20th, 29th of any month then U r number 2
If U were born on the 3rd, 12th, 21st, 30th of...
Wadau... I get disturbed everytime I read these..No wonder thery say Arab world is a closed society...! nimeipata hii kutoka Swahili Time Blog....
wanablog na watz wote.
habari za kazi na...
1."That's not my job."
You know what? A lot of bosses are simple souls who think your job is to do what's asked of you. So even if you're assigned a task that is, indeed, not your job, refrain...
Huwa nakerwa na kundi dogo katika jamii kutaka waitwe "waheshimiwa". Watu hawa hudiriki hata kujitambulisha "Mimi naitwa Mheshimiwa Blah Blah". Hivi ni nani si mheshimiwa? Wana uheshimiwa upi huku...
EMBEZZLEMENT IN ABUJA
Published on: Wed, 03/17/2010 - 4:40pm
Damas Makangale
THE request by the Tanzanian embassy in Nigeria for Tsh 4bn/- to construct a new complex is a shocking, given...
Man spends two nights in Luzira women prison
Thursday, 18th March, 2010
PRISON authorities are investigating circumstances under which a man spent two days in Luzira Womens Prison ward...
Govt to protect jobs for citizens despite EA Common Market
Labour movement not so free
By Arusha Times Correspondent
Tanzania would continue to protect jobs for her citizens despite the...
Nina mtoto wa jamaa yangu wa karibu anatumia madawa ya kulevya muda mrefu miaka kumi sasa. Katika kipindi chote hicho, Mzazi wake (Mama) kamsumbukia sana kupata suluhu ya kumfanya aache madawa...
Kulwa Mwaibale na Musa Mateja
Askari Polisi mmoja wa kike Faraja Jabir, anayedaiwa kujifanya ni Sekretari wa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, kwa kushirikiana...
Kuna ombaomba mmoja kijana ambaye hupenda kuombea katika taa za salender, peugeot house na mktaba anakera kwa staili yake ya kufunua kidonda kikubwa kwenye paja lake la kushoto akidai anataka...
FUATILIA KWA MAKINI ALAFU TAFAKARI KWA KINA!!
Hope this mail finds you well
wapendwa just a small note to alert you be a bit cautious and vigilant on the imported goods kwny supermarkets...
Wakuu naona hii kama ni kweli inatekelezwa ni ukombozi mkubwa kiuchumi kwa watanzania, itafungua macho wengi na kufungua hata opportunities za baadhi ya watu. Naona serikali inastahili kwa kazi...
http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/8572380.stm
Kama hawa watu wanakula hata ngoji katika karne ya 21,and it happens to be Africans,sio mbali na kwetu.Karamajong ,je Mungu atusaidiaje wakati...
Mimi naabudu kwenye lile kanisa.
Pale panapofanyika miujiza ishara na maajabu ya kila namna.
Mwingine nae anaabudu pale pengine, tunapoambiwa wanaabudu miungu mingine.
Je kweli sisi tunaabudu kwa...
Msemo wa ifindu mafi (chakula ni mavi) umesaidia sana kabila la wanyakyusa hasa wanaoishi vijijini kusaidiana sana katika masuala ya chakula. Je kabila lenu wanatumia msemo gani?
Wangindo...
Makampuni ya Kenya yamechangamkia sana fursa za ushirikianao wa afrika ya mashariki, sasa Arusha imekuwa ni eneo maalum kwa uwekezaji kwa wakenya, lakini Tanzania hakuna tulalofanya labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.