Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habarini za mchana Jamani mimi kuna kitu kinanitatiza, nashindwa hata kuelewa. Kwa kawaida mtu unapokata ticket ya ndege as RETURN TICKET si huwa inaandika unaondoka lini na kurejea lini...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
To better understand the background and environment that breeds situations of abuse of OFWs: "It was like a bad dream" is the way one migrant worker from the Philippines summed up his experiences...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi inawezekana JF kukawa na membaz ambao wako real willingly kutoa details zao?namaanisha kwamba no zao zikajulikana kwa mfano hili tatizo la Jf for these two daiz,mm niko tayari kutoa my no ili...
0 Reactions
72 Replies
5K Views
Fungua hapa na ufurahi!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimeona Barua ofisini ya kukumbushia wale waliopata mkopo kwenye Bodi ya mikopo na bado hawajaanza kulipa waanze kufanya hivyo mara moja lasivyo mwajiri pamoja na mwajiriwa atachukuliwa hatua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna ujenzi unaendelea katika kanisa hili ila tatizo kubwa limekuwa ujenzi umekuwa hauendi katika speed inayotakiwa japokuwa hela ya kutosha ipo ya kazi kuendelea Ujenzi umesimama kwa muda sasa...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Nina hakika nchi za Kiafrika na Kiarabu kwa pamoja zikikataa kufanya biashara au kuwa na ushirikiano wowote na Wayahudi haitochukua muda suluhisho la serikali mbili, yaani, ile ya Kiyahudi na ile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF, Kwa kweli hili suala la mgao wa umeme TENA nchi nzima limenisikitisha sana. TANESCO sucks big time na uongozi wake wote. Iweje watangaze umeme utakuwa historia halaf ndani ya miezi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Je sheria hii mpya ya uchaguzi iliyosainiwa kwa mbwembwe zote kama ilivyokuwa imeahidiwa hapo awali itaweza kupunguza rushwa katika uchaguzi na hivyo kutupatia viongozi bora? Kama hivyo ndivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jerry muro akoswa risasi habari ambazo gazeti hili ilizipata kutoka kwa chanzo chake cha kuaminika zilisema jerry ambaye alikuwa mahakamani hapo katika kesi yake anayotuhimiwa kuomba rushwa na...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Abolishing fees boosts African schooling Wangpala school in Kenya has seen a boost in inscriptions. Despite large classes, pupils have access to basic infrastructure and teaching materials. ©...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
If there was a time when the Church And mosque needed to pray was now! The world is worse now than Sodom and Gomorrah please rise up and pray! Man's inhumanity to man. A bus was ambushed...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanasiasa waongo, madaktari waongo, wa kichwa anapasuliwa mguu na wa mguu anapasuliwa kichwa. Wachina , Wamerekani na Warusi wote waongo, Wanaume waongo , wanawake waongo, Mashehe waongo...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimejaribu kufuatilia hizi NGOs zinazoanzishwa hapo Ikulu baada ya utawala mpya kuingia madarakani. Hapo mwanzo nilijua ya kwama 'Fursa sawa kwa wote" ni mali ya watanzania chini ya usimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
GGA FUNERAL A Tanzanian family was puzzled when the coffin of their dead mother arrived from the US . It was sent by one of her daughters. The dead bodywas so tightly squeezed inside the coffin...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kutakuwapo na mgao wa umeme katika mikoa yote ya Tanzania Bara kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne usiku kila siku,Kaimu Mkurugenzi wa Tanesco Stephen Mabada amesema leo. Katika taarifa yake kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wandugu, Nahisi kuna mgao unaoendelea Tanesco kwani huku Arusha ikifika saa moja jioni matatizo! Je kwa vile Tanesco ni damudamu na CCM wanaogopa wakitangaza kipindi hiki kura hazitatosha? Vipi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimesikia taarifa kuwa TBC1 wanaanzisha kipindi kitakachoitwa "Selebuka" Kwa uelewa wangu ni kwamba wameiga mfumo wa "Strictly come Dancing" au "Dancing with the Stars" vilivyoanzia Uingereza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina rafiki zangu wanataka kwenda Matema Beach wakati wa Easter. wanahitaji kujua mengi kuhusu Matema beach, lakini pia wana option mbili, kuchukua usafiri binafsi kutoka Arusha au...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nipo nasikiliza Jahazi kutoka Clouds FM.... Kitu sijakipenda ni namna Kibonde ametumia kipindi cha leo kusema maneno mbofumbofu dhidi ya Sugu....asili ya ugomvi ukiwa ni mradi wa Zinduka... Mi...
0 Reactions
90 Replies
24K Views
Back
Top Bottom