Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu zangu Jioni hii rafiki yangu mmoja amenitumia Barua pepe akilalamika kuhusu Maji machafu yanayopita Kwenye mabomba makubwa chini ya ardhi kwenda kumwagwa baharini , rafiki yangu huyu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Recently the Traffic depertment of the Police force requested all passenger buses plying up-country routes to ensure their vehicles are fitted speed limiters as one of the strategies to cubr road...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
  • Poll Poll
Naona kuupgrade avatar yangu kumewakwaza wengine kidogo; wapo wanapenda niendelee na ile ya jembe la mkulima (black and white) na wengine wanapenda hii mpya ya mkwaju (ya rangi). Sasa sijui...
0 Reactions
110 Replies
9K Views
MAHARAMIA wa Kisomali wameiteka nyara meli ya mafuta karibu na Madagascar ikileta mafuta nchini na kuipeleka pwani ya Somalia, wamiliki wa meli hiyo wa Norway wameiambia Reuters. Meli hiyo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
kama huyu wengine uvaaga sijui mwamuonyesha nani acheni hizo. Conquest.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
jamani hivi hawauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda badala kumsaidia hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwa na kawaida ya kuufunga mche wa Mpapai Gunzi wakati ukiwa unakua kwa imani kwamba kwa kufanya hivyo kutaufanya mpapai kutokuwa dume (kuzaa mapapai). Kawaida hii nimeiona sehemu nyingi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu waswisi wanapiga kura za maoni kuamua kama wanyama wawe na wanasheria wa kulinda haki zao. So funny, wamefikia hatua ya kutaka wanayawa wawe na haki ya kuwakilishwa na wanasheria. wakati...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
jamani hivi hawa wauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda kumsaidia badala yake siku iliyofuata walimuongezea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wangwe Wangwe (22) of Kimusi sits on his bed at the Tarime District Hospital yesterday. Suspected bandits descended on him and several other residents of the village at a wedding party at Mwita...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Just days before Valentine's Day, an Asheville man and his wife of 46 years got a sweet surprise - to the tune of $141.4 million. Frank Griffin of Asheville, a retired firefighter with over 20...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Agrey Mwanri. Winara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imesema imebaini matumizi mabaya ya fedha katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu Mchecheto wa Uchaguzi Mkuu 2010 umeanza kushika kasi, mpya yenye moto ni kuwa baadhi ya wagombea nafasi ya ubunge walioweka kambi yao Dar, wamechanga shilingi milioni 40 na kuita...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umesema hakuna mpasuko miongoni mwa viongozi wa umoja huo kama ilivyoripotiwa na gazeti moja la kila wiki la Mwanahalisi katika toleo lake namba 178...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MAHARUSI waliovamiwa na majambazi wilayani Tarime katika Kijiji cha Kinesi mwishoni mwa wiki hii, ambapo washerehekeaji watano wakiwemo ndugu na marafiki wa karibu wa maharusi hao waliuawa huku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad jana alikutana kwa mara ya tatu na rais wa Zanzibar, Aman Abeid Karume mjini Unguja, katika mkutano ambao unaaminika kuwa ulikuwa wa kuzungumzia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa dini unayoamini shukuru mungu kwa uhai aliokupa mpaka leo hii unaenda kulala wengine wako akazini wanapigana na maisha usiache kuomba unapoamka na unapoallaala hata ukiwa free kazini kumbuka...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
MAKAMAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemruhusu mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya wizi wa sh bilioni 3.3 za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Waziri nmgeleja malizana na askofu kakobe kuhusu upitishwaji wa nyaya mmalizane kwa amani kwa niaba ya watanzania tuko nyuma yenu kwa maamuzi yoyote mtakayokubaliana Mungu awabariki na kuwalinda
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom