Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiwaza sana ni kwa jinsi gani tunaweza kuliunganisha bara letu la Afrika kwa gharama nafuu kabisa na kuweza kuwa na fursa ya kuweza kuona na kujua kila siku nini...
WATU 24 wamekufa papo hapo na wengine 56 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la AM iliyotokea jana jioni eneo la mpaka kati ya Nzega na Igunga mkoani Tabora.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 10...
Pamoja na makosa yanayotokea serikalini
kwakuangalia usemi wa hawa wenzetu wapinzani leo hii mrema
akiongea kama msemaji wa CCM,sharrif ahmad akilazimisha
karume kupewa miaka 2 siku za mwisho...
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa wabunge na madiwani. Nini iwe strategy ya vyama vya upinzani ile viweze kutoa changamoto kwa CCM.
Mimi nadhani , kwanza vyama hivi vingekubaliana kusimamisha...
Jamani kuna mtu amenigusa kidogo kwa kunihakikishia
hawa mabwana apamoja na fighting yao ccm awakuwahi kurudisha
kadi za CCM walipoamua kukiama
hawa si wahaini wa kisiasa kweli???
Kweli nyani haoni kundule lake, hawa jamaa WAJUAJI wa clouds tena kupitia kipindi chao cha Power Breakfast show huwa wako mstari wa mbele kukosoa mambo mengi sana lakini leo nimewabamba. Website...
Wadau, Heshima mbele!
Naomba kujuzwa,
Utaratibu wa kumpata CEO wa shirika la umma/taasisi ya serikali/govt agency ukoje haswa hapa Tanganyika?
Tumekuwa tukiona mara post inatangazwa, then...
Jamani hawa watu sijui niwaweke kundi gani
nilipita pale manzese nikasema nimsalimie best yangu mmoja
anauza yale mambo ya coffin baada ya muda ikaja
benzi wanaitaji jeneza...wakaednda...
Watu wasemekeanao majambazi wamevamia harusi moja kwa
kuingia na kuwaua watu watano na kuendelea kuwasha moto kwa wengine waliokuwa wakitafutwa,..habari zaiidi zinasema walipoingia walikuwa kama...
Na Saed Kubenea
BUNGE la Jamhuri limetishwa. Spika Samwel Sitta amengolewa meno na kurejeshwa katika dini yake ya asili.
Viwango na kasi Standard and Speed alivyosema ni mwongozo katika...
Ndugu mwema habari ya saizi,natumaini umelala hivi sasa
kama utaabahatika kuamka asbh naomba uamke kuminambili uonepolisi
wako walivyomfanya dereva tax pale kasulu ,...walienda wakamdai ameiba...
Jamani jana nilikuwa naangalia tbc kulikuwa na mada nzuri sana
walikuwepi mama abdallah,,mama nkya wa tamwa na mbunge mmoja sikumbuki jina...ahpo ndipo niliamini yule mama nkya ni kichwa cha...
Kweli mjini shule
jamani wakati taarifa ya kutaka kujitoa kwenye soko
la maafuta tanzania wengine tumeisikia leo hii
Meli kubwa iitwayo MT PLADDER ikiwa na mafuta shede ya ndege
imerudishwa...
Ikiwa ni ndani ya wiki moja Mkoa wa Tabora kukumbwa na ajali mbaya za vyombo vya usafiri( Bus) Basi lililoua watu zaidi ya 24 mwanzoni mwa wiki hii wilayani Nzega A.M coach dakika chache...
Hii imekuwa ni mizaa ya tcaa kila siku ajali zinatokea akuna kinachoendelea
watu wakifa ndio wanakumbuka kuwawajibisha watu......
Bado tunaendelea kufwatilia chanzo cha ajali halisi ila bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.