Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Leo ni furahidei na kama kawaida kuna watu wanaojali kazi saana leo ndio siku yao yakuanza kukamata chupa, pombe ni mojawapo ya bidhaa maarufu inayoingizia taifa kipato kwani kila anywae hukatwa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Thursday, February 11, 2010 2:32 AM Balozi mmoja wa nchi za kiarabu amempa talaka mkewe mpya muda mfupi baada ya kuoana naye baada ya kuiona sura yake kwa mara ya...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Currently we've 15,997 registered members... Anxiously waiting for member #16,000 :) Who is he/she?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Pongezi zangu kwako Bwana Marando kwa kupangua hukumu ya kipambavu na ya uonevu aliyoitoa Jaji Masati kwenye kesi ya Nguza family. Jaji Masati ni mtu makini, mwenye uzoefu mkubwa wa sheria, mcha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamii, natanguliza shukrani kwani kwa maswali yote niliyowahi kuuliza sikukawia kupata majibu mazuri na yenye uzito.. Leo nimekuja na jipya: In a few weeks we will be having our cultural week...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hali ingekuwaje pale Mwananyamala au Temeke Hospital AU MUHIMBILI...?? Exit! Baby Born In Hospital Doorway The dramatic arrival of baby born at the doors of a hospital has been captured on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni kwa sababu kupitia haki ya msingi ya kupiga kura, tunaweza kuibadirisha nchi, na kuwa nchi yenye kujari utu wa na utaifa wa wananchi, ikiwa tu, tutaamua kubadirisha CD ya ile nyimbo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zilizonifikia hivi leo ni kwamba majambazi yenye silaha yamevamia kijiji cha Magena huko wilayani Tarime na kupora ng'ombe huku wakiua wanakijiji watatu waliokuwa wakijaribu kupambamba nao
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Umuhimu wa idara hii nchini unajulikana. Malalamiko dhidi ya idara hii nchini yameoneshwa na kutajwa katika magazeti, blogu, tovuti, vijiweni na hata kidogo Bugeni. Mapungufu yameelezwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuna ushahidi kweli wa maovu aliyofanya nguza au wamemsingizia?Kwa wenye data zimwage, nasikia kuna mwanasiasa alikuwa na kisasi naye, je kuna ushahidi wa kutosha?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Jana nilisikiliza BBC kipindi kuhusu Nelson Mandela kuwasamehe his tormentors. South Africa ni kama uhasama umeisha licha ya Shapville massacres, kufungwa kwa Mandela and co. na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ni wimbo wa siku nyingi kidogo, ila nauhakika hapa kuna wengi walikuwa wakiupenda, na pia kuna mengi ya zamani utakukumbusha.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hi all Valentine Day is about LOVE, FREINDSHIP & CARING FOR ONE ANOTHER On be half of my Valentine & I we wish you all a happy Valentine Day for Sunday may you all share this day to show your...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumeanza kujitokeza mtindo ambapo NSSF wanatuma statement zao kwa waajiri (employer) ili kuwasambazia waajiriwa wao. Yaani kama mtu anafanya kazi kwenye KAMPUNI B basi NSSF ni kama vile...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
AN EAST AFRICAN PERSPECTIVE Jerry Okungu I HAVE said it before in this column. I am glad senior managers at the East African Community Secretariat are seeing it now. I saw it way back when...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Ndugu wafikiriaji naomba kuuliza hivi kwa nini wahariri wa vyombo vya habari Tanzania hawatulii sehemu moja kila siku wana hama hama?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza imetangaza mpango wake wa kupunguza idadi ya wanafunzi wanaopewa viza za kusoma nchini humo. Serikali ya Uingereza imetangaza kuweka sheria na masharti magumu katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nimeona onyo limetolewa kuwa kuna wizi mpya kwa kutumia ATM na Credit cards zilizo ibwa na wezi hawa wana-temper na chip pamoja na pin za hizi cards. Kwa habari zaidi tembelea link hapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaji Herman Thomas, jaji ambaye alikuwa akiheshimika sana kiasi cha kwamba alikuwa akitabiriwa kuwa jaji mkuu wa kwanza mweusi wa Alabama Kusini, huenda akahukumiwa kwenda jela maisha baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom