Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Friends; Nimeona hatuipi kipaumbele Jamii Doctor. It is equally important to visit. Maana najua tulio humu tuko na professional tofauti so tutumie column hiyo kusaidia jamii kuhabarishana healthy...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JF members, I received the following mail from the so called "EMAIL LOTTERY PROMOTION AWARD COMITEE"" Can it be true? The mail.,,,,, !!!!!CONGRATULATION!!!! FROM THE EMAIL LOTTERY PROMOTION...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tukiwa tunajongea karibu na uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na rais, umaarufu wa mwanasiasa kijana wa kambi ya upinzani kutoka CHADEMA umepungua mno. Amekuwa kimya sana, hatoi tena zile hoja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekutana na hii blogu inaitwa http://tanzaniascholarships.blogspot.com/ ni blogu ambayo iko dedicated kutoa taarifa za scholarship zinazowahusu watanzania. Ni vizuri kuwa na watanzania ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwepo na wimbi la uchafuzi wa jiji la Dar es Salaam kunakofanywa na masangoma ambao huwa hawachagui mahali pa kuyaweka matangazo ya shughuli zao, wanaweka popote tu hadi Airport kuna vitambaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inasemekana ndani ya kampuni hiyo mambo si shwari kutokana na kwa miezi kadhaa sasakushindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara kwa wakati ( tarehe 46) na pia kukabiliwa na migogoro kadhaa ya ki...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya biashara wataingia msituni siku ya Jumatatu ya tarehe 22.02.2010 kugomea utaratibu mbovu unaotumiwa na menejimenti ya benki hiyo kwenye suala zima la kugawa mgao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba msome hiyo verse then mnipe mchango wenu! Na kwa kuipa kichwa (motion of discussion) swali ni: Is it right for a believer to date a non-believer? Nawasilisha... Inapatikana...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nimekutana na hii kitu na kuipenda sana. Siku yangu imekuwa angavu kwa maneno yaliyoko humu. Hebu na wewe chungulia halafu uamue mwenyewe uko vipi? 6 Personality traits to admire and acquire...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asubuhi ya leo katika taarifa ya habari ya Clouds FM nimesikia kuwa serikali imeshatoa uraia kwa wakimbizi wa Kisomali zaidi ya 4000 na kuna wengine takribani 1500 hasa wale walio maeneo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
9/11: The biggest lie in history! Watch this video from White-Americans proving that the Pentagon-bombing was done by a Global Hawk drone! No human-bodies, no airplane-debris of boeing 757, and...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimelazimika kutafuta nakala ya hukumu ya Babu Seya na Wanae iliyotolewa leo hii na mahakama ya rufaa, naomba wanaJF wote tuisome between the lines ili tuelewe kilichopelekea wengine kuachiwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. William Lukuvi, amebaini watu wanaojaza maji ya yasiyo safi na salama katika chupa za maji na kuyasambaza mtaani kwa ajili ya kuyauza baada ya kufanya ziara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukimuona ni paka wa kawaida ambaye hana tofauti yoyote na paka wengine lakini inasemwa kuwa ana uwezo wa kuwatambua wagonjwa wanaokaribia kufariki hospitalini na hadi sasa imesemwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Florida Court Sets Atheist Holy-Day! Gotta love this Judge! You must read this.......a proper decision by the courts....for a change. FLORIDA COURT SETS ATHEIST HOLY DAY In Florida ...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
WATU wanaoaminika kuwa ni majambazi jijini Dar es Salaam, wamemuua kwa kumpiga risasi, mmoja kati ya watu wawili waliowavamia. Tukio hilo la aina yake lilitokea juzi saa 3:30 usiku katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chini nimejaribu kutaja watanzania waliofungua mlango wa kutafuta Elimu ya juu nje ya nchi. Ni muhimu kuwajua wanafunzi wakitanzania waliosoma Uingereza enzi hizo, labda pia ndio walioanzisha...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Huku kupanda ghafla kwa bidhaa muhimu ya petroli mbona hakutolewi maelezo yoyote na hawa wenzetu wa ewura? Au ndio tunazichanga hela za uchaguzi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna dhana imeanza kujengeka miongoni mwa watanzania kwamba haiwezekani kufanikiwa katika maisha bila kufanya usanii (kuiba, kughushi, kula 10% illegally etc), matokeo yake kumekuwa na matukio...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom