HATIMAYE Mahakama ya Rufani nchini kesho inatarajia kutoa hukumu ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking, maarufu kwa jina la Babu Seya na wanawe watatu.
Watoto hao wa...
Tumekuwa na tatizo na kiwanja chetu kuvamiwa na mijitu yenye pesa ambayo haina hati za ardhi. Hata baada ya kuwaelewesha askari wa kituo cha Kawe juu ya tatizo hili wao wameendelea kujibaraguza...
jamani nimeshangazwa sana na hili leo hii pale sali alipopewa
mh dokita silaa akauliza iweje internal auditor awepo kwenye audit comitee
tena kama katibu,...sasa how come anajichunguza mwenyewe...
Kama asingekuwa shemeji yangu ningesema ana akili za kitimoto
weazir simba alliulizwa majuzi inakuwaje kuhusu sakata la rada
akiwa na akili zake timamu ajanywa pombe aliijibu ajapata taarifa...
Ni nini hii maneno?
Ni wapi palipoanzia kuharibika?
Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku?
Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi...
AFISA mtendaji wa kijiji cha Marambeka wilayani Bunda, mkoani Mara, Kipa Kigombe (52), amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Bunda, akituhumiwa kumkata masikio, Shaga Isaka, kwa madai ya...
MWALIMU wa shule ya Msingi Mtwivilla mjini Iringa, Alexander Kapolesya, anadaiwa kumuua mwalimu mwenzake, Ernest Komba (48), wa shule hiyo hiyo wakati wakimgombea mhudumu wa baa (Bar Maid)...
jana nilikutana na watu wakijadili watarajiwa wa kuongoza TSN. waliotajwa ni
Muhingo Rweyemamu ambaye alihusishwa na kusafisha ufisadi na kuwa ataigeuza dailynews chombo cha kusafishia...
Ngumi yamuua dereva wa daladala
DEREVA daladala Bw. Geofrey Sendwa (32) mkazi wa Kitunda Kivule amefariki dunia baada ya kupigwa ngumi na dereva mwenzake wa daladala katika kituo cha Magomeni...
Nguli - Potelea mbali jirani yako akipata ajali ya moto au kuuguliwa na mwanae
unakuwa wa kwanza kumsaidia pasipo kujali mahusiano yenu. Kwanini?
First Lady1 - Kwanini si...
10th February 2010
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta)
Wanafunzi tisa wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) wanashikiliwa na Polisi wilayani Lushoto mkoani Tanga, baada ya kubainika...
Tupo wengi dunia hii (Tz sasa tupo 40million). Tunakutana kila kukicha.
Nini 'polite way' ya kumuita mtu ambae humjui jina na pia wakati mwingine hata kama m2 unamjua jina kwa kua hamjazoeana nae...
habari zenu ma-great thinker,
nimekuwa nikisoma posts nyingi humu na kukutana na maneno haya "MIDDLE CLASS".
naomba mtu anieleweshe middle class tanzania ni mtu/watu wa aina gani?vilevile...
China finds 170 more tons of tainted milk powder that should have been destroyed by was reused
Published: Monday, February 8, 2010 | 12:52 PM ET
THE ASSOCIATED PRESS
BEIJING - The...
Tanzanian drug barons nabbed in major narcotics crackdown in Spain
By ThisDay Reporter & Agencies
8th February 2010
POLICE in Barcelona, Spain have busted an international drug trafficking...
KWa miaka kama nane sasa napambana na kujifariji kwamba bongo inaaza kusimama, nikajipa moyo kwamba tutasonga mbele hasa baada ya slogan ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya
vilevile wamarekani na...
Ndege hiyo ya British Airways 777 ilikuwa ina abiria 136 kutoka Beijing ilipokosa nguvu wakati inatua katika uwanja wa Hearthrow, magharibi mwa London, mita 330 kabla ya kufika kwenye njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.