Jina la Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania Dr., mheshimiwa rais Jakaya Mrisho Kikwete limeshushwa hadhi na matokeo ya kidato cha nne ya shule ya Sekondari ya J.M. Kikwete iliyopo wilayani...
Ni jumatatu nzuri iliyojaa neema za Mungu wetu .
Si vibaya tukiwa katika kujadili siasa,mapenzi na maisha kwa ujumla tusiache kumkumbuka muumba wetu na kumshukuru kwa wema na fadhira zake...
Hapa ndio sehemu pekee inayonipa raha kululiko sehemu nyingine yeyote ile mtandaoni ambayo watu huwa wanajumuika na kuongea mawazo yao.
Hapa ndipo ambapo nimepata marafiki wapya wenye mawazo...
Mbuzi unaowaona pichani hupatikana nchini MOROCCO, inasemekana ni kawaida kuwaona mbuzi wakiwa wamepanda juu ya vichaka na miti midogo ni kwa sababu wanafuata matunda yajulikanayo kama ARGO...
hiki ndicho nilichojionea kutoka kwenye wavuti huu:-http://www.newhabari.com/mtanzania/
Monyo vipi Mzee? Nimetazama page yako sikuona kitu. Kwani umeifanyaje? Hakikisha kuwa hiyo panel...
Binti Kinara 'form 4' afichua siri
JUHUDI, ufundishaji wa walimu, na malezi bora ya wazazi ndiyo siri kubwa ya mafanikio ya mwanafunzi bora wa kidato cha nne kwa mwaka 2009 nchini Tanzania...
Najua mm ni mtenda dhambi,tena umesema tuwasamehe na kuwaombea,kln Mungu kuna mtu ananikwaza sana Hapa Jf,kwann kila mara anakuwa tofauti na mawazo ya wenzie?Mungu najua sisi sote ni mfano wako...
Mugabe alimwambia Tony blair kuwa UK sasa inatengeneza Taifa la United Gay Kingdom ,ukinagalia maneno ya Mugabe ni ya kweli ukija viongozi wa nchi na viongozi wa makanisa Uk sasa wanakubali...
Baada ya kusoma makala ya mmoja wa wanachama wenzetu hapa kwenye Tanzania Daima siku ya Jumatano, nimeanza kuamini kuwa ndugu yetu huyu ana lake jambo au kuna watu wanamtumia kumsakama Waziri...
KAMPALA,Uganda
JESHI la Polisi nchini Uganda linawashikilia mtu na mkewe kwa tuhuma za muaji ya mtoto wao mwenye umri wa mwaka mmoja wakati wakigombana katika ugomvi wa ndani ya familia.
Jeshi...
Na Mwandishi Wetu
Taarifa zilizotufikia sasa hivi zinaeleza kuwa, basi moja la abiria (daladala) ambalo namba zake hazikuweza kupatikana mara moja, limegonga treni na kwamba mtu mmoja (mwanaume)...
hakika jumapili kwenye kanisa la ufufuo na uzima ilikuwa siiku ya furaha na ajabu,...miujiza mingi ilitokea watu walifunguliwa
shtuko lililowashangaza watu ni pale yule sheikh rashid alieamua...
Gwynne Dyer
BAN Ki-moon is not the best secretary-general the United Nations (UN) ever had, but he has grasped the essential nature of his job. The UN is an organisation made up of sovereign...
KUWAASI WAZAZI
Baada ya dhambi ya ushirikina; kusema/kuitakidi kuwa kuna Mungu zaidi ya mmoja, dhambi kubwa kuliko zote ambayo Mwenyezi Mungu anasema: "HAKIKA MWENYEZI MUNGU HASAMEHI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.