Vurugu zatanda, wanafunzi Kibasila walala barabarani
FFU WAFYATUA RISASI, WANAFUNZI 18 WAZIRAI
Waandishi Wetu
WANAFUNZI 18 wa kike wa Shule ya Sekondari ya Kibasila jana walizirai...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu leo inakutana na Waziri wa Miundombinu, Profesa Shukuru Kawambwa, kupata taarifa za utendaji wa kampuni za Reli (TRL) na Ndege (ATCL).
Kulingana na...
Nimepata habari kuwa Wahindi wa Aga Khan walikwenda kuukagua uwanja wa Kilimanjaro International Airport wakiwa na nia dhahiri ya kuuchukua na kuanza kuuendasha.
Hii ni baada ya serikali kununua...
Na Said Njuki, Arusha
WAISLAM mkoani hapa, jana walifurika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha wakihaha kuwadhamini viongozi wao waliopo rumande akiwemo Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...
Masuala mazito yote tuletewe wananchi
Kwa kweli sijuwi kama Msekwa, Makamba na vibaraka vyao wamezidiwa na uzee?Mimi napenda kuamini kama msimamo unaendelea sasa hivi Barazani kutoka kwa ndugu...
HATIMAYE Mchungaji Christopher Mtikila liyekuwa rumande kutokana na kukabiliwa na mashtaka ya uchochezi na kutoa lugha ya matusi kwa Rais Jakaya Kikwete, amepata dhamana.
Kesi hiyo ambayo...
2010-01-30 10:48:00
Sh4bn lost daily in Dar traffic jams CEOBy Bernard Lugongo
THE CITIZEN
A Sh4 billion loss is incurred every day from traffic jams in Dar es Salaam. Workers spend hours on...
Government mulls helping Z`bar end power problems
By Felister Peter
30th January 2010
Zanzibar`s Chief Minister Shamsi Vuai Nahodha.
The government, through the Ministry of Finance...
Nimewwiwa kusema haya baada ya kusoma gazeti moja la mwanahalisi, hii imenifanya kuona kumb e hata zile kesi pale mahakamani yawezeknaa watu wameonewa ama ni mchanga wa macho.
CCM imeunda kamati...
Kumekuwa na kampeni nyingi za kutetea haki za watoto mashuleni na mahali pengine popote.
Moja kati ya suala tata katika haki za watoto ni kama watoto waadhibiwe wanapokosa ua wasiadhibiwe...
Nikiwa Mwanza hivi karibuni, nilimwona mtoto huyo aliyelala na kushika tama kila asubuhi niliyokuwa nikifanya jogging. Nilipokwenda nikikimbia, nilimpita akiwa bado hajaamka, na niliporudi...
Bongo kuna magazeti mengi sana hadi idadi haieleweki.Hivi mnaweza kunisaidia ni media gani atleast yenye kuzingatia taaluma ya kufanya nayo kazi?.Based on balance, truth,objecticity,fair, free...
Wakuu.
Jana kwenye taarifa ya habari ya ITV tumehabarishwa kwamba Dk Marina Njelekela yule mwenyekiti wa Chama Cha Wanawake Madaktari-MEWATA ametunukiwa tuzo ya Martin Luther King na Ubalozi wa...
Watu mbalimbali walikuwa wakichangia jana kwenye kampeni ya kuchangia Mfuko wa Vodacom (Vodacom Foundation) ili uweze kusaidia wahanga wa mafuriko yanayoendelea nchini walijikuta wakifurahia kwa...
....Huwa wakati mwingine natatanika na uwakilishi wa wabunge wetu huko bungeni hasa kuhusiana na maswali waulizayo....
Kuhusu swali la Mbunge wa Kwela, Dk. Chrisant Mzindakaya (CCM) ambaye...
Maji yameingia mdudu.....heri kuchimba kisima chako mwenyewe....ili uyafaidi yaliyo salama kwa afya yako na kuepuka kuishi kwa matumani, chupa kubwa na ndogo zote ni hatari....mengine hupatikana...
Kwa wale mliofuatilia lile tukio la huzuni wikiendi iliyopita ambapo Mtanzania mwenzetu, hayati Sweti alikumabana na mauti kwenye mikasa ya ukatili uliofanywa dhidi yake na Askari jeshi ambao pia...
HUU NI UTAPELI WA KIJINSIA
WALIOMUA HUYU MAMA WAALA SI HAWA POLISI WASIUE WATU WENGINE KUKOSHA WAMEUA MAJAMBAZI NASEMA HILI NIKIWA ARUSHA KILA AKISHANGAA HAO WATU WANAODAIWA KUUWAWA;POLISI TAFUTEN...
Ni wale waliofichua kero zao kwake
Mkurugenzi awataka wajieleze
HOFU imetanda kwa baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Kyela waliotoa kero zao kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.