Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Muhingo Rweyemamu, Mhariri Mkuu (ME) wa Magazeti ya New Hadari Corp na boot licker number one wa RA ametangaza rasmi kubwaga manyanga kutoka kampuni hiyo, Ametangaza leo asubuhi katika kikao...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Askari huyo wa kambi iliyopo Arusha alipigwa na wamasai walio kuwa wanachunga ng'ombe ktk eneo la jeshi,eneo ambalo linakatazwa kufanyia shughuli zozote za kiraia. Siku hiyo Askari huyo akiwa na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Sipendi mwendesha pikipiki awe mbele yangu. Sipendi tabia ya taxi kuchomekea bila sababu ya msingi, Sipende Bajaj zinavyoendeshwa. Sipendi guta wanavyong'ang'ania kutumia barabara kubwa wakati...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu naona sasa kila nikizikusanya zina pelea sasa naomba kama anayejua kampuni inayo kopesha gari kwa watumishi/wafanyakazi Dar anisaidie make naona ndoto za kuwa na usafiri wa miguu 6...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Serikali ya korea kusini imeweka utaratibu wa kuongeza idadi ya watoto kwa watu wake kufanya kazi nusu siku kila jumatano ya wiki ya tatu ya mwezi. huu ni mpango maalumu kwa ajili ya kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Idadi ya magari yanayoshikiliwa na polisi katika kituo cha Magomeni, ambayo Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara (Pichani) anadaiwa kutapeli, yamefikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Concern as hackers mess up crucial websites By Al-amani Mutarubukwa The Tanzania National Bureau of Statistics (NBS) has become the latest casualty in a growing trend in which hackers mess up...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ama ndani ya biblia katika kitabu cha methali 3:5 kuna onyo hili. 'mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitumainie akili zako mwenyewe. Kwa wale wanaozitumainia akili zao wanapaswa...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Haya ni maoni ya Mhariri wa gazeti la Habari Leo. (msisitizo wa rangi nyeusi wangu na maoni ya kwenye mabano - MM) Tukarabati haraka miundombinu bila kuogopa gharama Imeandikwa na Mhariri...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Serikali imesema ilitupilia mbali mpango wa kuzalisha mvua kwa kutumia teknolojia ya Mfalme wa Thailand uliokuwa umeombwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, alipotembelea nchi hiyo mwaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akamatwa, alala kituo cha Polisi Adaiwa kutapeli magari 18, manne yakamatwa, mengine yasakwa Alikuwa anadai ni kwa ajili ya chama CCM Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
WAZIRI Mwadini (38), mkazi wa Oysterbay, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kujibu shitaka la kumshambulia askari na kumtukana matusi ya nguoni. Imedaiwa na Karani Fatma Khatibu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete, aliondoka nchini jana mchana kuelekea Davos, Uswisi kuhudhuria kikao cha kila mwaka kuhusu uchumi (World Economic Forum), kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimepata taarifa rasmi leo. Wote humu JF mlionisaidia you are acknowledged. Thank you all once again, may God reward you abundantly.
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Jeshi la polisi mkoani Kigoma limemwachia huru kwa msamaha maalumu mkazi mmoja wa kijiji cha Nyamidaho wilayani Kasulu aliyesalimisha kwa serikali ya kijiji, silaha ya kivita aliyokuwa akiitumia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Majambazi yameendelea kutingisha nchi na katika tukio la kuhuzunisha watu wawili wakiwa na silaha wamemuua kwa kumpiga risasi kichwani mke wa mfanyabishara maarufu wa madini ya tanzanite...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
removing
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Just* click * here, *click* on play, then leave the mouse alone , sit back and enjoy a piece of creative brilliance.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
VINARA wa upatu wa Development Enterpreneurship Community Initiative (DECI), wataendelea kusota rumande hadi Februari 8, mwaka huu, kwa kuwa upelelezi bado haujakamilika. Watuhumiwa hao, Jackson...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI imekiri kuwa tatizo la umeme visiwani Zanzibar linatokana na uchakavu wa mitambo ambayo ni ya muda mrefu na inahitaji marekebisho na gharama kubwa. Katika kipindi cha maswali ya papo kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom