Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hakuna kikomo kwa shukrani tunazotakiwa kutoa kwa mama zetu. Leo hii uambiwe mama yako tunamtoa kundini(je hii inamaanisha wewe unabaki) maana yake hayupo , kwa hiyo mama hayupo mtoto hawezi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kuanza kutoa fomu za wagombea urais, ubunge na madiwani kuanzia mwezi Aprili, kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Five killed as rains ravage Morogoro, Ruvuma regions By The guardian team 9th January 2010 At least 20 killed in Kenya and 30,000 in need of relief aid Five people died and many...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vibaka Dar wafunga mitaa, wapora mali, jambazi lalipukiwa na bomu likipambana na polisi Waandishi Wetu WATU zaidi ya 50 waliodhaniwa kuwa vibaka juzi walifunga mitaa ya maeneo ya Yombo Dovya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear Hon. Zitto Kabwe MP Could You Define Your Personal Leadership Vision? Leadership vision is an essential means for focusing attention on what matters most; what you want to accomplish...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa? Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani? Sija sikia dini imefutwa. Hili likoje wadau.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani kuna picha ya dada mmoja aliwangurumishia majambazi waliouwawa hivi majuzi;hakika roho imenidunda gafla kwanza kuona mtoto mwenyewe na jinsi alivyopendeza;jamani embu mtafutieni kazi za...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Dar junk fish sold off, despite RC`s ban By Edwin Agola 9th January 2010 Foreign fish found at Dar es Salaam`s Feri Market has been sold without laboratory sampling analysis results...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara zote mtu ananapotata cheo hasa cha kuteuliwa tuna kauli ya ukweli tunasema kwamba fulani kaula. Kuula huku kuna maana gani?? Hoja hii haina maana ya kubadilishwa jinsi ya hali halisia ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani nimesoma kupitia vyombo vya habari kwamba leo CHADEMA watakuwa DDC Mlimani City na Kongamano la Wasomi wa vyuo vikuu! Kama lipo tupeane updates ya nini kinaendelea!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kocha Ivory Coast: Nipeni Taifa Stars Kocha wa timu ya taifa ya Ivory Coast Vahid Halilhodzic ambaye ametangaza nia yake ya kutaka kubeba mikoba ya Marcio Maximo ambaye anatarajia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza kuwa huduma ya umeme wa gridi ya Taifa uliokosekana kisiwani humu tangu Desemba 10, mwaka jana, itarejea Februari 20, mwaka huu. Waziri wa Maji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kwa wanaJF wanaomjua Bi. Nasra Hussein wa Moshi kilimanjaro idara ya maji wamjulishe email yake iko hacked na abadilishe maramoja.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hata kama mimi ni BORELESS si uongo kaulimbiu hii ina ni-BORE. "NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO" Kwani Nyerere lini amegeuka kuwa mnyamapoli? Mod waonaje...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF nawasalimu wote. ni Mtazamowangu kwamba tumekuwa waelimishaji,wachambuzi,wakosoaji,waelevu, walekezaji wazuri sana kupitia Forum hii katika masuala yote ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna mama mmoja ambaye nashindwa kumwelewa kama ana akili timamu au nini,anapendelea kukaa kando ya bahari, maeneo ya sea view karibu na Hospital ya Agha Khan. Huyu mama ana watoto 4,na mara zote...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
hatimae mapato ya mechi zilizochezwa na ivory coast na taifa stars zimeeingizwa Million 416 na IVOEY COAST NA RWANDA SH MIL 60 TUNASHUKURU KWA MAPATO HAYA TFF;NATUMAINI KAMA PANGA SANA LIMEPIGWA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa walioangalia tbc tunaamini kweli haya mambo hatari kibibi kizee mmoja akadiriae na miaka 60-65 amekutwa kwenye nyumba ya bwana mmoja aitwae salum pale dodoma -airport,wakimwonyesha bibi yule...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=wao9wX3loqs# sikiliza maneno hayo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Askari Magereza aamriwa arejeshe kamera aliyompora mwandishi Pauline Richard MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemwamuru mkuu wa askari wanaosindikiza mahabusu kutoka Gereza la Ukonga, kurejesha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom