makontena 6 yamekamatwa yakiwa na bidhaa feki za majenereta;balbu;pen za bic;na wire za umeme
akizungumza na mwandishi wa tbc mkurugenzi wa asasi inayofwtilia wanaoingiza vifaa feki amesema...
NAIROBI,Kenya
SERIKALI ya hapa imemuhamishia nchini Gambia muhubiri wa Kiislamu raia wa Jamaica anayelaumiwa kwa kuhubiri chuki baada ya kuingia nchini kinyemela.
Abdulllah al-Faisal...
Nampongeza mmiliki wa Zizzou fashion kwa kutoa ajira kwa vijana hapa Dar na pia nampogeza kutuletea vitu quality kwa kweli sijui huyu ndiye yule kijana wa Kinywaranda aliyekuwa na duka na salon...
KUNA uwezako mkubwa wa abiria nchini kesho kukosa kusafiri kutokana na madereva wa mabasi yaendayo mikoani kutangaza mgomo kwa kile walichodai kulipwa mshahara ambao haulingani na kazi...
Serikali ya uganda imepanga kuondoa maaskari wote wenye vitambi;akiongea kwa huzuni mkuu wa mapolisi wa uganda amesema ni kweli serikali iko kwenye mchakato;unajua wale tunawaweka sehemu...
*Jambazi lilitaka kuwarushia likajilipua lenyewe
MAJAMBAZI watatu wameuawa kwa kupigwa risasi katika wilaya ya Ngara na Muleba baada
ya kupambana na polisi kwa dakika kadhaa huku mmoja...
SERIKALI imewataka familia tatu zenye wakazi zaidi ya 30 wanoishi katika shule ya msingi Kipawa 'Maisha Plus'kuondoka katika kipindi cha siku sita zilizobaki kabla ya bomoa bomoa kuanza.
Taarifa...
Nimesikia gari la Mombasa Raha limetekwa jana usiku likitokea morogoro kwenda tabora....any news?? my young brother was there...but for now hapatikani tena hewani....
msaada tafadhali, kama...
Wadau JF nimeipata hii kutoka Michuziblogspot tunaweza kushea.
mitaa nyeti jijini dar:
Kijitonyama, Sinza na Mikocheni:
Mitaa ya Sayansi, Makumbusho na Maeneo ya Mikocheni Rose Garden ni hatari...
Wapendwa WanaJF, kuna tangazo moja la TBC1 halinifurahishi sana, hasa linapodai kuwa Serikali "imesharidhia" kwamba mwaka 2010 wanawake na wanaume ni nusu kwa nusu kwenye nafasi ya uongozi! Swali...
Habari za siku nyingi ndugu zangu maana ni siku nyingui sana tangu nimeshiriki katika uwanja huu ambao matu na ama wasomi kwa ujmla huwa tunasoma au ktoa hoja zetu.Binafsi nilishindwa kutokana na...
MKAZI wa Kijiji cha Ndulungu Kata ya Kaselya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Sadiki Selemani (40) ameikimbia familia yake baada ya watoto 2 kati ya 4 waliozaliwa na mke wake Mwanaharusi Juma (32)...
Waswahili huwa tunatema mate kwenye mabasi,
tunapenga na kukojoa hovyo barabarani,
tukiwa tunahama tunang'oa hadi silingi bodi licha ya kuwa tumelikuta, na pia huwa tunaharibu vitasa vya milango...
This is the kind of no bullsh!t, zero tolerance attitude i would like to see from Kikwete. Actually from all our ministers.
Threats won`t scare me, says minister Magufuli
Livestock...
Hivi ni kwa nini watu wanaoziacha dini zao za awali na kuingia kwenye dini mpya wanakuwa ni wakereketwa sana kuliko wenye dini haswa.
Mfano mtu akitoka kwenye uislamu akiingia ukristo anakuwa...
Indian President Pratibha Patil will tomorrow confer an award on Regency Medical Centre chairman Dr Rajni Kanabar at the eighth Indian Diaspora Conference, which kicked off in the Indian capital...
Older Women
An older lady gets pulled over for speeding...
Older Woman: Is there a problem, Officer?
Officer: Ma'am, you were speeding.
Older Woman: Oh, I see.
Officer: Can I see your...
POLISI jijini Dar es Salaam wamewaua majambazi watatu katika mapambano ya kurushiana risasi yaliyodumu takribani dakika 45.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 3.30 usiku katika makutano ya barabara...
Wanawake hapa ndani si wengi sana,
nadhani kuna haja ya kuanzisha umoja wao ambao utasababisha changamoto ndani ya forum.
Wanawake ni ma organizer wazuri sana,
pia wanashiriki kikamilifu shughuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.