Wakuu, nilipojaribu kutembelea website ya hawa wadau wa habari nikakuta ujumbe huu Not Found
The requested URL /daima/ was not found on this server.
Additionally, a 404 Not Found error was...
Ndugu zanguni naomba kuwasilisha hoja ,kwa maoni yangu ningependa Mpoto apewe nafasi ya kutumbuiza kabla ya kuanza vikao vya CCM badala ya TOT ya Komba naamini mashairi ya Mpoto huenda...
Kuna habari kuwa ikulu iko katika mkakati wa kutaka kumrudisha madarakani aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Tanesco Dr. Idrisa Rashid ambaye mkataba wake ulikwisha Novemba 30 mwaka huu. Hii ina maana...
Hivi jamani naomba tujiulize ni nini kinaendelea ndani ya TANROADS? Hivi ni shirika hilihili lililofanya kazi ya kusifika chini ya DR Magufuri leo hii linasuasua? Au kuna picha inachezeka...
Tangu majembe na SUMATRA wameanza kushirikiana katika suala la usafiri hasa wa kwenda mikoani pale ubungo bus terminal imekuwa vurugu sana na kelo kubwa kwa abiria,
Je sisi JF hatuna cha kusema...
Wana JF,
Kila mwaka matokeo ya Mitihani ya Kitaifa katika ngazi mbalimbali yanapotoka huwa tunapata fursa ya kujua vijana wetu walioongoza nchi nzima katika ngazi ya darasa la saba, O Level na...
Songas gesi yetu ipo tanzania lakini kwanini wakubwa wote ni wageni?
Je sisi kweli umeneja hatuwezi?
-Songas Managing Director, Chris Ford -
-Songas Ubungo Plant Manager, Ramakrishna
22nd...
Wana Jf nimeona nilete mjadala huu hapa Jamvini.
Leo asubuhi nikiwa na kunywa chai Hapa Tabaora ktk Hoteli ya MEYA,kuliibuka mjadala juu ya Dhamira ya bwana Ismail Aden Rage juu ya yeye kugombea...
Mnamo mwezi wa july mwaka huu kulikuwa na zoezi la kutandika mabomba ya maji katika sehemu mbali mbali jijini la Dar es Salaam, zoezi hili la kuweka mabomba lilifanywa na wachina na kwa maelezo...
i have received this from a friend of mine, sijui amepata wapi and thus i can not confirm the source, Kama ilishawahi wekwa hapa then mod please remove it.
- wamiliki wa magari wakiyajua haya...
Accident ,Accident,Accident now and then,
Who said a properly trained driver is unprofitable? If the state of driver training is to be believe. Then it is time for change! Why continue the...
Jambo hili limenifikirisha na kunitatiza kwa muda mrefu sana jinsi gani watanzania wanavyoweza kujenga majumba ya kifahari ili hali ni watumishi wa serikali!!! Mimi ni...
(Mjadada umechokozwa kule mtandao wa kwanzajamii. Nimeunasa)
22 December 2009 1 views No Comment
Mdau said:
Ni mchomeko tu, wadau hii imekaaje?
Mzee gani anaweza akasimama na kutoa...
Baada ya TANROADS Arusha kubomoa uzio wa wa hoteli ya Crest iliyofunguliwa siku kama tatu au nne zilizopita kumekuwepo na madai kadhaa kuwa Rais kakashifiwa. Wanasiasa wengine wamedai uongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.