Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Imeandikwa na Regina Kumba; Tarehe: 15th December 2009 HabariLeo VIONGOZI wa Taasisi ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (Deci), jana walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jengo la Kanisa la TAG Kariakoo mkabala na s/msingi Uhuru,limeuzwa kwa Mpemba mmoja. Mchungaji wa kanisa hilo alipohojiwa alisema wameuza kwa lengo la kujipanua zaidi. Limeuzwa kwa Tsh 850...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Tanzania: The Rocky Road to Full Independence Ray Naluyaga, "The Citizen," Dar es Salaam, Tanzania, allafrica.com 9 December 2009 Today, Tanzania marks the 48th anniversary of its...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbowe: Rasimali za Watanzania zimeuzwa na Asha Bani MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema umasikini wa Watanzania umetokana na viongozi wakuu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
na Mwandishi Wetu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kamwe hakitaacha kumkosoa Rais Jakaya Kikwete na serikali yake katika mambo ambayo hafanyi vizuri, sambamba na kuwataka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani hebu tujiulize hili si ndo lile shirika juzi lililokuwa linasemwa halina vitabu vizuri vya fedha yaani makusanyo yake mabaya? Leo inakuwaje ndani ya mwaka huu huu sasa wanapewa award ati...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Vice-President Dr. Ali Mohammed Shein has said that climate change is a global concern that needs collective efforts to address it. Shein made the remarks last Sunday in Dar es Salaam before...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo David Cato, shoga aliyegeuka kuwa mtetezi wa haki za mashoga Thursday, December 10, 2009 3:54 AM Wakati Marekani baadhi ya majimbo yanaruhusu ndoa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
-Wakuu,naomba kuitumia nafasi hii kuwapongeza Radio Maria Tanzania kwa utaratibu wao wa kurusha matangazo ya moja kwa moja kupitia mtandao(Internet)..Binafsi wamekuwa wakinifanaya nijihisi niko...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wana jamii nimekutana na kisa cha kusikitisha mno wakati nilipokuwa namtembelea jamaa yangu anayeishi maeneo ya Tabata Kimanga.Jamaa yangu ana mtumishi wake wa ndani(House girl) ambaye ndiye...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
wakuu, Naomba msaada wenu, hivi Mh. John Momose Cheyo yuko wapi? Siasa vipi ameacha?
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Ndugu wana JamiiForums, Kwa wale ambao mtakuwa hamjaona "Petition" yetu kwenye mtandao; nawaomba mtembelee - www.globalink.org/petitions/tanzania2, mtusaidie kusaini hiyo "Petition". Ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear all, I am looking for an ISP to host a web based database. The ISP Server should be able to run the following: • PHP 5 (5.2 or higher preferred) • Apache 2.0.54+ (Apache 1 will work) •...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Ni zaidi ya miaka mitatu kocha huyu wa Kibrazil anaendeleza ubabaishaji najua anaweza kudai ati wachezaji wanakosa professionalism lakini hiyo si sababu kwa vile Uganda imeshinda kikombe hiki cha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamii vp tukianzisha kampeni ya kuwanyima ccm kura ili wajue kwamba wao pia siyo miungu watu, tukiweza kuimiza vijana wetu kupitia mitandao inaweza kusaidia kuielimisha jamii.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni uvumbuzi unaofurahisha kwa upande wangu. Mtanzania Bw. Joseph Kimaryo mkazi wa Arusha amegundua jiko la kupikia linalotumia matone ya mafuta machafu (Oil chafu) na maji. Akihojiwa na BBC...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
The first-born is likely to be the smartest, according to research First-born children are more intelligent than their siblings, research has found. The oldest child is more likely to have a...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Millionaire who fought off a knife-wielding burglar is jailed (while the intruder is let off) Last updated at 11:39 PM on 14th December 2009 A millionaire businessman who fought...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwambangoma huvutia kwake jamani,ivi kwa nini tusiwe na segment kaa michango/post za East Afrka. Si unajua kwa sasa tumekuwa jamani ata Mwalimu alisema umoja ni nguvu utengano ni uzaifu...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
ABS system An ABS system consists of some wheel speed sensors, a hydraulic motor, some pressure release valves and a clever computer (or control module) which coordinates the whole thing (see...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom