Hii imenikera kwa kweli,mdogo wangu ana motto wa miezi nane joto lilikuwa linazidi mpaka kufikia 38.7C
Tukampeleka Aga Khani wakapima damu jamaa akaandika 4/500 MPS meaning malalia nne tukampeleka...
Matatizo ya ufisadi/utapeli Tz hayataisha milele!Tunaelekea kuwa kama Nigeria,labda ahueni population yetu ni ndogo hivyo resources zipo.
System ni na maana serikali,bunge ,mahakama na vyombo...
Chidi Mokeme is a romance scammer!
New shocking details
Monday, 07 December 2009
I am writing this message to warn all female fans of engaging with online contact with Nollywood actor...
Tumaini Msowoya, Iringa
SERIKALI imeahidi kushughulikia tatizo la vyeti bandia na shahada hewa ambazo zinazozidi kushika kasi na kupoteza mwelekeo wa taaluma nchini.
Akizungumza katika...
We have about 2 weeks remaining before the start of the New Year.
This is a list of most fascinating people in Tanzania for 2009. Watu hawa wamebadilisha kwa kiasi fulani mwelekeo wa nchi, au...
na Edward Kinabo
MSAJILI wa vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, anakusudia kukichukulia hatua Chama cha DP, iwapo itabainika madai aliyotoa Mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher...
Wazee ni kama nimesikia kuwa kuna gari la lililokuwa kwenye mashindano likaanja njia na kujeruhi watazamaji kandokando ya barabara.
Kama kuna habari kamili tafadhali.
Tena kuna watu walikuwa wakiishi nyumba ya kupanga na walikuwa na watoto wawili,
mkubwa alikuwa na umri wa miaka minne, na mdogo alikuwa na umri wa miaka miwili.
Siku moja usiku wakati wa mchezo...
House boy anatembea na mke na watoto wa bosi wake wa kiume na wa kike, na house girl anatembea na baba/bosi wake na watoto wa kiume wa bosi wake.(Kwa baadhi tu ya hb na hg na sio kwa wote).
Je...
Kuna huu mkutano wa wakuu wote wa polisi wa mikoa Tanzania unaoanza leo mjini Dodoma. Habari zinasema kuwa mkutani huo ni mkakati wa serikali kujipanga kwa ajili kudhibiti wanachoita wao ulinzi na...
MNANIFANYA nitoe kicheko cha uchungu! Inawezekanaje mnaambiwa mnaletewa maisha bora wakati haya ya kawaida tu yanawashinda?
Mnataka kukimbia kabla ya kutembea? Bongo ni vituko juu ya vituko na...
Watanzania wengi wanapiga kelele kila siku kuhusu Tanzania mwelekeo wake.
Kwa maoni yangu tutapiga kelele kila kukicha kwenye JF lakini kama wengi wetu hapa hawatahakikisha kwamba kuna mabadiliko...
Ndugu zangu wana JF, usiku wa kuamkia leo (kuanzia saa tatu hivi) nilipata nafasi nyingine ya kusikiliza kipindi fulani kutoka radio inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Kiislamu hapa Tanzania...
Hii nimeipata kwa bro Michuzi.Naona ni bora hawa viongozi wetu kupewa Mitsubishi Canter kwa ajili ya kubebea mizigo,maana haya mashangingi kubeba nyasi ni kufuru kwa watanzania.
Leo Dar imezizima
who is who wa wenye Dar walikuwepo kwenye mazishi ya MTUMWA LUKONGO ambaye alitutoka na kazikwa makaburi ya Kisutu
Inna lillahi wa Inna illahi Raajuun
Kwa nini ni KLM tu ndio inatua KIA?
Ningependa kujua ni kwanini???KLM tu kati ya ndege zote za kimataifa zinazokuja Bongo ndio inayotua KIA?NO BA,Emirates,Swiss and other more
Mbunge wa Kigoma Mjini Peter Serukamba alitetea vyema hoja yake mwishoni mwa mwezi Novemba na ametunukiwa shahada yake ya Uzamili katika Utawala wa Biashara (MBA). Hongera..! Tunakusubiri kwenye...
UPDATE 2:
Wana JF; ule muda wa ile Conference yetu umewadia na maendeleo ni mazuri. Kuna mbadiliko kidogo ya Kimsingi:
Dates:
Saasa itakuwa ni kwa siku moja tu: Friday 18th December 2009...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.