(20 April 2008, Atlantic Ocean, Brazil)
In 1982 Lawn Chair Larry, beloved survivor of a Darwin-worthy attempt, attached 45 helium weather balloons to his comfortable Sears lawn chair, packed a...
Mkazi mmoja wilayani Mpanda mkoani Rukwa anashikiliwa na polisi kwa kosa la mauaji baada ya kumuua mtoto wake kwa kumpiga risasi akidhani ni ngedere wakati akilinda shamba lake la mahindi.
Tanzania yaenda Kenya kuchunguza wafungwa
Shadrack Sagati
Daily News; Friday,January 09, 2009 @21:15
Serikali imetuma maofisa wake katika magereza mawili Kenya kwa ajili ya kuchunguza...
Mgonja fails to get court permission to see ailing mother
FAUSTINE KAPAMA
Daily News; Friday,January 09, 2009 @21:15
Former Permanent Secretary with Treasury, Gray Mgonja, has asked the...
Nimesimuliwa na jamaa yangu ambaye ni mmoja wa wahanga wa tapeli huyu!
Huyu jamaa Jonh Alex ana vijiduka vitatu ambavyo hujifanya anauza vifaa vya ujenzi kutengeneza computer pamoja na mabati...
wakuu hii sasa kali..Yaani unanunua vitu without using them!!the story is really interesting!!sijui mnaionaje maana bongo ukifanya hivi utaambiwa unakufuru au??
Shopaholic crushed to death by...
Ofisa CHADEMA aporomoka na lifti ghorofani
*Ni kutoka ghorofa ya kumi, ashtuka ubongo
Na Joyce Magoti
OFISA Habari na Uenezi wa CHADEMA, Bw. Devid Kafulila, amenusurika kifo baada...
Nimekuwa na kawaida kila siku kuwasiliana na ndugu na jamaa kupitia international calls. Cha ajabu leo siku ya pili jamaa zangu wote walio katika mtandao wa Vodacom nimekuwa siwapati. Nilidhani...
Mbatia amepotoka
Tahariri
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
TUMEPOKEA kwa masikitiko na mshtuko mkubwa kauli iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James...
MHnafikiri mpaka sasa ndie waziri unaeongoza kwa kuandikwa kwenye magazeti yakinukuu kauli zako mbali mbali bila vitendo...kwa kukusaidia tu watanzania usione wamekaa kimya si wajinga wanasikia...
Duh! Hi nayo ni tamu haswaaa kwa wenzangu na mimi ambao tuliumaliza mwaka 2008 tukiwa very busy na tukauanza mwaka mpya 2009 tukiwa somehow tume-delay kidogo kiasi cha kushindwa kwenda sambamba na...
Mtandao wa Kampuni ya TiGo haufanyi kazi tokea asubuhi wana tatizo gani au mafisadi wamewaingilia kuwakwamisha kwakuwa ni mtandao wa bei nafuu watueleze mapema kabla hatujahamia kampuni...
mara nyingi nimekuwa nikijiuliza, kikwete na urafiki wake na Rais wa Sudan, yule gaidi anayewasapoti janjawid kuwaua watu weusi wa kusini ambao wengi wao ni wakristo. matatizo mengi yametokea, na...
Wiki kadhaa baada ya TANROADS kutekeleza amri ya rais aliyoitoa alipokuwa akizindua barabara huko shinyanga ..ya kutaka barabara kama ya morogoro road kuanzia chalinze kuwekewa matuta,kutokana na...
Naomba kuuliza hili swali? Ni nini chanzo cha U-Terrorist?
Kwa nini mambo hayo yanatokea?
Kwa nini watu wa West na wanaosapoti mambo ya West ndio Target?
Kwa nini inahusishwa na Uislam na...
Jamani Wazalendo wenzangu naomba tupige kura hapa ili tuutangaze mlima kilimanjaro kuwa upo Tanzania. Nafasi ndo hii. Ingia hapa New7Wonders: The official global voting platform of New7Wonders na...
...true or just conspiracy? naona ipo all over google
Schiller Institute- Kissinger's 1974 Genocide Plan- NSSM 200-Exposed Join Food For Peace Movement
Wabunge Mtwara wakacha kikao cha maendeleo
na Hassan Issa, Mtwara
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
WADAU wa maendeleo mkoani hapa juzi waligeuka mbogo dhidi ya wabunge wao, baada ya kupewa...
Iranian envoy appeals to Kikwete over Gaza...
2009-01-07 12:05:08
By Guardian Reporter
Iranian ambassador to Tanzania Abbas Vaezi has challenged President Jakaya Kikwete, who currently...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.