Ally Sonda,Moshi
MBUNGE wa Vunjo(CCM) Aloyce Kimaro amepiga marufuku tabia ya baadhi watu wa jimbo hilo kuishi maisha ya kuombaomba, badala yake amewataka wafanye kazi itakayowapatia kipato...
Heshima mbele wakuu wana JF world wide.
Will UN troops bring peace in Africa as in Europe?
Today we need to rethink about our life our society in our Africa,maana nimewaza sana na nimeumia...
Wanafunzi 3 wa chuo kikuu Muhimbili wamekufa maji jana jioni wakati wakiogelea kwenye ufukwe wa Geza Ulole huko KIgamboni.
Wanafunzi hao ni:
Issa Kennedy MD mwaka wa nne
Khatibu Mzee MD mwaka wa...
Kikwete avicharukia vyombo vya habari
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~ya Watu
RAIS Jakaya Kikwete, amevionya vyombo vya habari kuwa, serikali yake haitavivumilia iwapo vitajiingiza...
Mwema akiri uwezo wa Polisi mdogo
Gloria Tesha
Daily News; Tuesday,January 13, 2009 @20:00
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP), Said Mwema, amekiri kuwa uwezo wa Polisi...
Uchaguzi wa Ghana umemalizika kwa wapinzani kuchukua madaraka ya kuiongoza dola ya Ghana. Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki kutokana na maelezo ya wanasiasa na vyombo vingi vya habari.
Je...
Service or Selfishness?
Kitengo cha uchunguzi cha Zogby International kimeonyesha na kugunduwa kuwa asilimia 69.2 ya Watanzania are strongly agree that rushwa na/au ufisadi ni tatizo kubwa...
Nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu matukio ambayo yanastahili kuimbiwa ubeti mmoja na yale yanayostahili beti zote mbili za wimbo wa Taifa wa Tanzania. Utakuta wakati wa tukio fulani linaimbwa...
Nimekutana na hizi picha mtandaoni ambazo zimepigwa hapa nchini Tanzania. Hizi picha si za kuvijunia hata kidogo. Na hili suala si lazima mtu aende darasani kujua ni makosa kumruhusu mtoto kunywa...
Mambo ya Bongo sasa hivi kiboko; kuna mashopingi moli kama ya mtoni, Maubungo Plaza, Mayfair Plaza na maplaza mengine mengi tuuu! Maapatimenti, mariili esteti broka, mabangaloo, na maskai skrepa...
Ambassador Inaugurates Jitegemee Secondary School
January 7, 2009
Mark Green, right, the U.S. ambassador to Tanzania, cuts a ribbon during a dedication ceremony at the Jitegemee Sec. School in...
Kama ana-uwezo wa kuandika text message zote hizi je ana-mda wa kusoma kweli?
THIS KID'S A TEXT MANIAC
OMG! 14,528 MESSAGES IN A MONTH!
HOLD THE PHONE! Greg Hardesty tries to pry a...
Nimeona hii habari bandugu naweka kama ilivyo.
World's first flying car set for lift-off next month
Asian News International - Text
Last Updated: January 11, 2009 06:00:04
London, Jan 11...
Ninakumbuka zamani kulikuwa na uvumi kuwa, albino hawafi, yaani wanaishi ukifikia muda wao hutoweshwa na kwenda kusikojulikana. Ilifikia mpaka watu wakawa wanabishana kuwa ni nani aliwahi...
Ki-moon appoints Masanche judge at ICTR
NICODEMUS IKONKO, Hirondelle, Arusha
Daily News; Friday,January 09, 2009 @21:15
The United Nations Secretary General, Ban Ki-moon, has appointed...
Mara nyingi ukifungua tovuti ya IPP Media ukitaka kusoma gazeti la Alasiri baadhi ya habari hazifunguki... na unakupata error message "page not found". Huu ni uzembe au ndio style mpya ya...
Nimekuwa nikifuatilia hii hali ya wananchi kufurahia kupewa misaada. Kwanza kuna misaada au michango inayotolewa na viongozi kama vile wabunge, mawaziri na hata Rais mwenyewe. Pili kuna misaada...
British Airways, Virgin Atlantic now charging half of KQ fares
By PAUL REDFERN
THE EAST AFRICA
Posted Saturday, January 3 2009 at 09:54
Both British Airways and Virgin Atlantic have...
Controversy surrounds Jangwani plot
ABDULWAKIL SAIBOKO
Daily News; Saturday,January 10, 2009 @20:20
Controversy surrounds the leasing of a plot belonging to Jangwani Secondary school at...
Mwenzetu Ben mwishoni mwa mwaka jana baada ya Noel alipata ajali ya gari huko India (New Delhi) na sasa anaendelea vema.
Leo amefanikiwa kuingia JF na kwakuwa kanifahamisha juu ya kilichomsibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.