Naam,,, Msafiri kafiri ama? Niko ndani ya daladala naelekea katika shuhuli zangu za miangaiko. Nigeuzapo macho kumtizama dereva wa daladala hili nistuka kidogo,,,, ni mtoto! Mtoto kabsaaaa,,, kama...
Mtoto wa miezi minne azungumza mazito
Na Mashaka Mhando, Tanga
MTOTO wa miezi minne aliyezaliwa kwenye hospitali teule wilayani Muheza, amekuwa gumzo na kustaajabisha wakazi wa mji...
Wajameni wandugu!
Heshima mbele!!
Mimi ni mpitaji wa hii barabara inayopita Lugalo kuelekea maeneo ya mbezi mpaka b.moyo. Karibu kila siku napita hapo nikielekea kwny kibarua changu.
Cha...
Wazalendo, Happy New Year 2009!
Katika Kijarida cha Habari za Ukimwi (April - June 2008) Takwimu zinaonyesha kuwa maambukizi ya Ukimwi kufuatia Kampeni ya Kitaifa ya Kupima Ukimwi kwa Hiari ni...
ndugu zangu polen na pilika pilka za kufurahia uapishwaji wa RAIS mteule wa DUNIA B.H.OBAMA, kwa masikitiko makubwa hivi majuzi kuna majambazi yalivamia gari na kutaka kupora pale MANZESE,nadhan...
Kuna bwana mmoja miraba minne pandikizi la mtu mwenye lafundi ya kaskazini anazunguka katika mabaa usiku na kutafuta watu wa kuwatapeli.
Ukiwa na marafiki unapata kinywaji huyu bwana anakufuata...
Tumekuwa na awamu nne sasa za uongozi:Mchonga,Mwinyi,Mkapa na Kikwete.Mungu aibariki sana awamu ya Mchonga.Ilikuwa awamu yenye authority,Mchonga akisema kitu kisifanyike kweli hakifanyiki.Huo ndio...
St. Augustine once said that Fasting cleanses the soul and Raises the mind If he were alive today he might be surprised to see the fast detached from its spiritual toots and transformed into...
Kuna 'thread' moja ya Malila yenye kichwa cha habari 'Kwa nini tunaendekeza sana imani za kishirikina'. Kichwa hiki cha habari ni kizuri,na kina uzito na mantiki ya aina yake.Cha ajabu ni kwamba...
Kwa wale tunaofahamu Historia ya vyombo vya habari Tanzania kwa hakika mtu hawezi kubisha kuwa IPPMedia ni moja kati ya vyombo vya habari vya mwanzo na vilivyokuwa makini Tanzania kwa kuanzisha...
Wakati kampuni ya Tigo ilivyobadilishwa Jina toka mobilel Nilikuwa na shauku moja nayo ni kuja kuona kwamba sasa kampuni hiyo inakuwa zaidi kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla kwa sababu...
MCHAKATO wa kuwarejesha chuoni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, sehemu ya Mlimani, umeanza rasmi chini ya ulinzi mkali huku wanafunzi watano wakishikiliwa na Polisi, wakidaiwa kutaka...
Nina omba kueleweshwa hivi ni sawa redio kutumia takribani saa nzima inachambua magazeti mawili tu tena ya jioni ? Hapo biashara ipo kweli kama hata barua za wasomaji inasomwa.Kuna sheria yeyote...
Date::1/14/2009
Daruso yafutwa, sheria mpya UDSM zatangazwa
Latifa Karugila na Hussein Kauli
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeweka masharti magumu ya kudhibiti usajili wa wanafunzi...
A woman who had two children by her own father has spoken of her ordeal.
The woman, known only as Miss D, fell pregnant with a girl after being raped by her father when she was 16.
She also...
Hivi karibuni nilipatwa na mkasa wa kupotelewa na kilongalonga changu!!kutokana na kwamba ilikua ni usiku nikashindwa kufanya sim replacement!!nikapiga simu customer care ili waiblock sim card...
FAUDHIA WAZIRI [30] mkazi wa Magomeni Mapipa amefikishwa Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni kwa kosa la kumwambia mwenzake ameathirika na gonjwa la ukimwi.
Kauli hiyo ya kashfa aliitoa Desemba 23...
THE FEDERAL RESERVE FRAUD
The first misconception that most people have is that the Federal Reserve Bank is a branch of the US government. IT IS NOT. THE FEDERAL RESERVE BANK IS A...
30 Most Important Events in Financial and Economic History
1. The invention of money by the Ancients and its replacement of the barter system
2. The Industrial Revolution and the Collapse of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.