Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

BAGHDAD – When an Iraqi journalist hurled his shoes at George W. Bush last month at a Baghdad press conference, the attack spawned a flood of Web quips, political satire and street rallies across...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina shaka kabisa kwamba udiwani ni ngazi ya muhimu katika kuwakilisha mawazo ya wananchi katika vyombo vya kiutendaaji, hasa Wilayani na taifa kwa ujumla.Lakini sina hakika kama kiungo hiki...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Fighting hunger with flood-tolerant rice Story Highlights Scientists breed a new strain of flood-tolerant rice Normal rice dies after three days of complete flooding; this rice can survive 17...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingi nimeona watuhumiwa wa ufisadi na uozo mwingine katika jamii wakichangia mawazo iwe kwenye mikutano au hata Bungeni.Huwa haingii akilini mwangu.Kilichonifanya niandike thread hii hata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nakumbuka katikati ya mwaka jana 2008 barabara inayoanzia Kijitonyama science kupitia Rose Garden mpaka kwa Mwalimu Nyerere iliwekewa taa ambazo siyo tu zilipendezesha barabara ile lakini pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mkazi wa mkoa wa Morogoro,na makazi yangu yapo kwenye kijiji kiitwacho Dakawa.Ni kijiji cha wakulima,wafanya biashara ndogondogo pamoja na wafugaji.Wafanyakazi wa serikali kama sisi tupo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Duuu, Nimekuwa nikiimba kuwa Sikonge kuna umasikini wa kutisha ila hakuna anayeweza kujua ni wa kiasi gani. Ili kuonyesha hali hiyo, natuma hii link muone hizo picha:- Album *...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
kauli za waziri mkuu pinda zinatia njia panda hatama ya nchi yetu. kauli ya kuwa meremeta ni suala la usalama wa taifa haliwezi kujadiliwa bungeni wakati kampuni imesajiliwa visiwa vya uingereza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wenye simu za mkononi kubanwa Basil Msongo Daily News; Wednesday,January 28, 2009 @21:15 Kuanzia Machi mosi mwaka huu watumiaji wote wa simu za mkononi nchini, hawataruhusiwa kuficha namba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The way that for 150 years certain people have been devoted to such an extraordinarily illogical belief as the theory of evolution is a great miracle created by God by making use of Satan. Those...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Aliyedhaniwa kufa Shinyanga awashtua Wafanyakaza wenzake JuliusAliyedhaniwa kufa Shinyanga awashtua Wafanyakaza wenzake Julius Sazia, Shinyanga WAFANYAKAZI wa Manispaa ya Shinyanga jana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jumatatu maeneo ya Siha huko Moshi kuna polisi alijeruhiwa vibaya na jambazi. polisi alikuwa na bunduki SMG yenye risasi 29 na jambazi alikuwa na kisu. Cha kushangaza jambazi alimchoma kisu polisi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Teknolojia mpya ya kuzalisha umeme. Teknolojia mpya ya kuzalisha umeme jijini London kwa njia ya matuta ya barabarani (Road Humps) ipo katika majaribio ambayo ni ya kwanza aina yake duniani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The proposed new Google GDrive could kill off the personal computer, experts have warned. The Google Drive service, which will reportedly launch later this year, allows users to store...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuinuka na Kuanguka kwa UDSM! Kwa aliyewahi kusoma, kukipenda, kufundisha na kufanya kazi maeneo ya chuo, na yote kabisa Mtanzania mzalendo! Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam, palikuwa mahala pa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka huu 2009 tunakumbuka miaka zaidi ya 200 ya kusimamishwa kwa biashara ya utumwa iliyohusisha meli za kiingereza na nchi nyinginezo. Ingawa miaka zaidi ya 200 imepita, je utumwa huo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani walioko TANZANIA tuabarishane nasikia ""MOTO""umeanza kuawaka uko ATCLleo kuna watu wameteuliwa na wengine kupigwa chini,,mwenye habari zaidi amwage nyuki
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna malalamiko kwa vijana (graduates) wanaofanya kazi ofisi za serikali kwamba wanabaguliwa na wazee kiasi kwamba kunakuwa na makundi ofisini matokeo yake ufanisi duni. Hii inatokea sana kwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ASSOCIATION OF TANZANIANS IN IRELAND INAWAALIKENI WATANZANIA WAISHIO HAPA IRELAND KWENYE MKUTANO ULIOOMBWA NA BALOZI WA TANZANIA, KWA UK & IRELAND, MHESHIMIWA MAAJAR. VENUE: MALDRON HOTEL...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tazama unyama wa Israel!!!!!!!!!!!!!!! wanaua hata watoto!!!!!!!!!!!!!!!!! Ama kweli wapalestine madhaifu wanahitaji kusaidiwa na UN na inchi zenye nguvu ili kustopisha mauaji ya wapalestine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom