Hii ina maana kuwa hata magari yaliyozidi miaka mitano ambayo tayari yalikuwepo na kutumika nchini yasiruhusiwe kutumika kwa vile yamekuwa kuukuu? Mimi naona kitu cha kuzingatia hapa ni ubora wa...
Jamani swala la bei za nyumba za kupangisha inabidi liangaliwe upya. Ingawa najua ni mambo ya soko huria lakini sasa kwenye nyumba imekuwa soko holela. Nimepata simu kutoka kwa mwenye nyumba...
A Tanzanian doctor who was arrested by Malawi Police for conducting illegal trial vaccines to several HIV/Aids sufferers, a practice which led to the death of seven people has been released on...
Akina Baba pia muwe huru kuchangia mawazo yenu.
Date::10/29/2008
Kikwete atetea mila ya 'chagulaga' kwa vijana kujipatia wachumba
Na Mwandishi Maalum, Tabora
Mwananchi
RAIS Jakaya...
Wakuu nimepita sasahivi saa tisakamili mchana maeneo ya kidongochekundu nimekuta mashekhe kibao na wafuasi wao.Tetes kwa harakaharaka wanadai kuungana leo mpaka kieleweke muafaka wa OIC.Maaskofu...
30.10.2008 @22:38 EAT
Mining firms slam govt "indecision"
By Costantine Sebastian
THE CITIZEN
Mining companies have criticised the Government for not making its position clear on key...
Vijana wetu wanaokwenda kusoma Asia wana hakika ya kazi huko.
Zipo habari kuhusu makampuni kuhamishia shughuli zake nchi nyingine. Mfano: "Call Center Jobs Drifting Overseas".
Hivi karibuni...
Chancellor demands cheaper petrol as Shell posts record profits
Trace the rise and fall in crude prices in the last decade
Graeme Wearden guardian.co.uk, Thursday October 30 2008 11.45 GMT...
Hii habari nimeona niiweke hapa, ili kuwakumbusha waandishi wetu kuwa kazi ya kufuatilia kashfa ya ufisadi sio kazi nyepesi.
Hebu soma habari hii ya kusikitisha kuhusiana na Mwandishi huyu jasiri...
Safi sana hii.
Parents queue to select baby gender
A growing number of British couples are undergoing procedures at clinics overseas to determine the gender of their babies.
BBC NEWS |...
Date::10/29/2008
Wananchi walalamikia Mgodi wa Geita kuangamiza mifugo
Na Mussa Juma, Geita
Mwananchi
WAKAZI 110 wa Kijiji cha Nyakabale, ambacho kinapakana na mgodi wa Geita Gold Mine...
Samahania sana kama mtakuwa tayari mmeanza kuichangia article hiyo niliyodesa kutoka IPPMEDIA. Baada ya kuisoma hadi mwisho nilibakia na maswali mengi yasiyo na majibu. Ingawa mahitimisho yangu...
Ndugu watanzania wenzangu,katika kuunga mkono vita dhidi ya ufisadi inayoendelea nchini nimeanzisha petition. Kama unaunga mkono,naomba usign kwa kutoa maoni yako. Kama una unga mkono CLICK LINK...
KUTAFUTA UMAARUFU KWENYE INTERNATE KWAWAMALIZA VIJANA WA WALES.
Jambo Forum:
Kizungumkuti cha vijana hawa kujimaliza kimchezo mchezo kiliamzishwa na Dale Crole kijana wa umri wa miaka 18...
Wakati huo huo, mwandishi wetu Hilary Komba, anaripoti kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Oganaizesheni, Kampeni na Uchaguzi ya NCCR-Mageuzi, Bw. Faustin Sungura, alisema wahariri hawakupaswa kuandamana...
SISI wakazi wa TABATA tumeanzishiwa soko jipya kati ya Tabata Shule na Muslim au Al Farouk lakini tatizo ni usafiri.
Isitoshe kwa kuwa tuko karibu na mwisho kabisa wa Tabata kuelekea barabara...
Baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki mnamo mwaka wa 1977, hatima ya watanzania waliokuwa wafanyakazi wa jumuiya hiyo imekuwa tata hadi leo miaka zaidi ya thelathini...
Life is an Adventure ... Dare it
Life is a Beauty ... Praise it
Life is a Challenge ... Meet it
Life is a Duty ... Perform it
Life is a Love ... Enjoy it
Life is a Tragedy ... Face it
Life...
Nimepokea message kutoka voda leo ilikuwa imeandikwa kama ifuatavyo.
¨Dear customers we have not been able to recognize your selection. if you have any problem please dial 101 and choose...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.