Mchawi wa TRA ni wafanyakazi wake
WIKI iliyopita Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ilitoa taarifa ya kufafanua sababu zilizosababisha kushuka kwa makusanyo ya kodi kwa mwezi.
Taarifa hiyo...
hii ni hali ya kutojiamini mh makamba katibu wa chama cha majambazi
nimetua toka mwanza dk kumi zilizopita mh makamba akiwa kiti cha mbele kwenye ndege ya airtanzania ,akaja mh tundu lisu mzee...
hii ni hali ya kutojiamini mh makamba katibu wa chama cha majambazi
nimetua toka mwanza dk kumi zilizopita mh makamba akiwa kiti cha mbele kwenye ndege ya airtanzania ,akaja mh tundu lisu mzee...
Nimepokea matokeo ya uchaguzi Tarime kwa furaha sana. Sisemi kwamba mimi ni mwanachama, ila matokeo yangekuwa tofauti hali ya amani iliyopo Tarime kwa sasa ingeharibika. Chama Cha Mapinduzi...
kwenu wandugu wote waliohusika kwa nia moja au njia katika mapigano na mauaji yaliyotokea kule TARIME.napenda kuwapa poleni sana za dhati
kabla ya yote naomba mmjue si mpango wa mungu kuleta...
Tunaifahamu FFU,ndiyo na hata police tunawafahamu.FFU wanapashwa kutuliza fujo na police kulinda mali za wananchi,kutunza amani iliyopo na kuhakikisha kwamba kila mtu anaishi kufuatana na maadili...
Kwako waziri
pole sana kwa kukaa benchi na kujua umuhimu wa uraia!!!
Pili napenda kukupa pole kwa kujitia aibu mwenyewe pamoja
na kuiimarisha sekta ya wanahabari pasipokujua:::
Najua wizara...
Taarifa zilizoingia sasa hivi zinasema kwamba kuna shehena kubwa ya simu za mkononi zimeibiwa uwanja wa ndege ya JK nyerere , watu walioiba simu hizo bado wanatafutwa toka mapema leo asubuhi...
A Connecticut homeowner has been busted for sending her real-estate agent to the hospital - after he unknowingly took a bite of her ginger cake made with pot, cops said.
Adrian Prevalla, 28, was...
Members of public had a Moi day present along Thika Road on Friday afternoon, when a a truck full of Beer overturned scattering all the beers along the Road.
Our Prime Minister,Honorable Pinda was in Namibia for a state visit.He seems to have been impressed by what he saw in that country in general terms. Specifically he had time to visit the Namibian...
Hakika jamii yetu inashangaza,si mkubwa wala mdogo kila kitu kutoka Marekani au Ulaya ndicho cha kuigwa.Tumeiga hata visivyoigwa.Mabinti zetu sasa wanatembea uchi kwa visingizio vya kwenda na...
Mawaziri wa elimu Ndg.Jumanne Maghembe na Utumishi Hawa Ghasia wametoa tamko la pamoja wakisema kwamba mgomo wa waalimu ambao utafanyika takriban wiki mbili zijazo si halali,kwa vile matatizo...
Watanzania kwa bahati mbaya hatuko makini sana.Nimeshasema mara nyingi kwamba tumepoteza kabisa uwezo wa kuweza kutambua ukweli na uwongo,na uovu na wema.Sasa tunapoendelea kulalamikia ufisadi na...
Mabweni UDSM yalanguliwa
na Mobini Sarya
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
WIMBI la kuuza vyumba vya kulala wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) sehemu ya Mlimani, limeshika...
Date::9/5/2008
Rais Kikwete asema siasa basi, sasa tuendeshe nchi kisayansi
Rais Jakaya Kikwete, ametoa tahadhari kuwa kuendesha mambo kisiasa hakuna tija ya kutosha isipokuwa kisayansi...
Na Mwandishi Wetu
POLISI Zanzibar imetangaza orodha ya watu saba waliyokutwa wamekufa katika mazingira ya kutatanisha, akiwamo mwanamke aliyeuawa kwa kukatwa shingoni katika Mkoa wa Kusini...
na Mwandishi Wetu
KUMEIBUKA mauaji ya kutatanisha katika Manispaa ya mji wa Zanzibar ambapo katika kipindi cha wiki moja watu sita wamekutwa wamekufa akiwemo mfanyabiashara mmoja mwenye asili...
Hakuna shaka kwamba hali ya Tanzania kwa sasa ni tete,kiuchumi na hata kisiasa.Takwimu tunazopewa za kukua kwa uchumi sisi lolote ni danganya toto.Haingii akilini kwamba uchumi wa nchi ukue halafu...
Nimekuwa mkazi wa Dar kwa muda mrefu na nimekuwa nikishuhudia vipindi mbalimbali vya maisha ya wakazi wake kwa namna ya pekee. Tabia za wananchi hawa au wakazi wa Dar hazitabiliki kiasi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.