Salaam wakuu,,,,,katika pitapita yangu ndani ya mtandao nimekutana na hii:www.policeforce.go.tz.Kwa kiasi fulani ni nzuri...Hongera[/url] IGP Mwema kwa kuianzisha tovuti hii ambayo kwa kiasi...
TUJIFUNZE kuwawajibisha viongozi wanaozembea majukumu yao. Watanzania lazima tujifunze kukataa uongozi wa ugoi goi kwa sababu ya kuogopana au kutotaka kuonekana tuna kimbelembele.
Hadi nani...
Wadau,
Kuna hii habari ya toka mwaka jana sina uhakika kama ilipita hapa. By the way kwa jinsi mapastor wentu hapa Bongo wanavyoangusha waumini siku hizi naomba mwenye idea hiki kifaa...
Jamaa yangu mmoja anaye mlinzi wa usiku nyumbani kwake, kawaida ya huyu mlinzi huwa anaingia kazini saa moja jioni anatoka saa kuminambili asubuhi ila huwa ana kawaida ya kulala na kusinzia wakati...
Press Assoc. - Tuesday, October 7 04:21 am
Human evolution is grinding to a halt, according to a leading genetics expert.
The gloomy message from Professor Steve Jones is: this is as good as...
For a long time people of Tanzania have taken justifiable pride in their deeply ingrained national mood of tolerance and peacefulness. Indeed, Tanzania, for all its ethnic diversity with more than...
Maafa Tarime!
2008-10-06 16:42:20
Na Waandishi wetu, Tarime
Kampeni za uchaguzi wa mbunge wa Jimbo la Tarime mkoani Mara zimelazimika kusitishwa kwa muda leo asubuhi baada ya maafa makubwa...
UBALOZI mdogo wa Uingereza nchini unatarajia kufungwa Visiwani Zanzibar hivi karibuni kutokana na nchi hiyo kukabiliwa na ukata.
Monday, 22 September 2008
Akizungumza katika hafla ya futari...
Diwani wa kata ya kimara mh ringo tunakuomba na hii ni mara ya mwisho kukuonya ukome kutunyanyasa wananchi wako ukishirikiana na mwenyekiti wa serikali za mitaa mtenga,,,
waziri tunaomba...
Waislamu wana mkakati wa kususia bidhaa mbalimbali za mfanyabiashara maarufu nchini ambaye ananasibisha Uislamu nchini na Ugaidi na kushabikia matumizi ya kondomu na zinaa kupitia kwenye vyombo...
Niko katika nchi za watu , nimekaa nasoma majukwaa mbali mbali ya mitandao ya afrika mashariki lakini haswa nasoma ya kitanzania ninapotoka na kuishi mimi , mengi ya kitanzania yanaongelea shutuma...
Na Richard Bukos
Mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Elimu wa zamani Joseph Mungai aitwae Justina Mungai na wenzake saba ambao ni wafanya kazi wa benki Kuu ya Tanzania (BoT), Jana (Ijumaa) walifikishwa...
Haya- Kibunango, Masatu na Mkamap, someni hapa basi jamani mchangie mjadala
Utaifa Unayoyoma
Mafisadi na Wapambe wao mguu juu!
Changamoto kwa kizazi kipya, Watanzania watu wa ajabu...
India imetangaza ni marufuku kuvuta sigara hadharani kuanzia jumatatu ,,mavyuoni shuleni baa na katika ukumbi za disco..mwakyusa tutaweza sie ,,je inasaidia
kwenu wana jf health centre
LEO KATIKA KUPERUUZ PERRUZ MTANDAO WA CNN KWENYE TRAVEL SECTION NIKITAFUTA PA KWENDA LIKIZO HII NIKAONA TANGAZO KUHUSU TANZANIA
Colorado train finds new life in Pennsylvania - CNN.com...
Ordinary commuter services of the Tanzania and Zambia Railways Authority (TAZARA) will be suspended effective from Saturday (6 October) due to poor business performances in the past months...
The on-going financial turmoil in the USA and the European Union (EU) will make remittances from abroad into Tanzania hard to be realised, according to a senior Bank of Tanzania (BoT) official...
Mwandishi Maalumu, New York
Daily News; Tuesday,September 30, 2008 @00:02
Habari nyingine
Tanzania itatokomeza kabisa ugonjwa wa malaria katika miaka saba ijayo, yaani ifikapo mwaka 2015...
..mabilioni?
Date::10/2/2008
Kampuni ya Ufaransa kuichambua kashfa ya EPA
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
MKATABA wa ukaguzi wa deni la mamilioni ya shilingi katika Akaunti ya Madeni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.