DV-2010 Lottery Starts Soon!
The DV-2010 Lottery begins at Noon EDT on October 2, 2008, and ends at Noon EST on December 1, 2008.
You can visit http://www.dvlottery.state.gov...
Nimepata habari kwamba moja ya ndege ya kampuni ya atc huko mjini mwanza imelazimika kusitisha safari yake baada ya kupata madhara katika engine wakati ndege hiyo ilipotaka kuruka na ndege...
Matukia ya shule za bweni kuungua moto yanazidi kuongezeka nchini, jambo linalotia wasiwasi wazazi ambao wanapenda watoto wao wasome shule za bweni. Yapo matukio mengi ya shule kuungua...
Hali ya hewa katika jiji la Dar es Salaam ni ya mvua ya rasharasha. Haieleweki ndio mvua masika inaanza au nini? Kama ndio masika watu wa hali ya hewa waanze kutoa tahadhari kwa watu wa mabondeni...
ZIPO hisia kuwa imefikia wakati wa kuchambua na kunyambua ni nini hasa wabunge wa Bunge linaloitwa la Taifa wawe wanazungumza wanapokuwa wanalipwa posho nono wakati wa vikao muhimu vya kitaifa...
Vigogo TAZARA wasimamishwa kwa tuhuma...
2008-09-05 09:18:17
Na Thobias Mwanakatwe, PST, Mbeya
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), Clement Muya na...
The road disappeared soon after it was (reportedly) constructed at the cost of Tsh. 100 million. It is one loss that the residents of Maji-ya-chai ward are not about to take lightly. According to...
LETS SING LOUD.
TANZANIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
That is why we have a song to celebrate this....
Tanzaniaaa Tanzaniaaaa!!
Nakupenda kwa moyo woooteee...
Wananchi wagoma kupokea mradi wadai una harufu ya ufisadi
Na Daniel Mjema, Hai
Mwananchi
WAKAZI wa Kijiji cha Mtakuja, jana walimweka kiti moto Mbunge wa Jimbo la Hai,Fuya Kimbita...
Maofisa BoT kutaja vigogo
Mwandishi Wetu Septemba 3, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Ni walioshinikiza kupitishwa kwa nyaraka feki
MAOFISA wa Benki Kuu (BoT) ambao wanatajwa...
NAPENDA muwasiliane na Kapteni Othamni Omari Msekeni ili kumsaidia katika juhudi zake za kuwakomboa Watanzania masikini na hasa wakulima, wavuvi na wafugaji vijijini.
Bwana huyu ametengeneza...
MAMBO mengi makubwa huko Amerika chanzo chake ni tafiti na ugunduzi uliofanywa na wanajeshi wa nchi hiyo. China, Russia, Korea na Japan hali kadhalika sehemu yao kubwa ya maendeleo imetokana na...
...habari Kwahisani ya Globalpublisherstz.com
Bi. Maua Shaha (kushoto) akiunyanyua mkono wa mwanae Abdalah Mbonde, leo mchana kuwaonesha Waandishi wa Habari uvimbe unaozidi kumuongezeka kila...
Hivi hatuwezi kufanya chochote wenyewe mpaka kila kitu kibinafsishwe? Tunapenda sana kunyoosha mikono juu haraka bila kuweka mkazo wa kupambana na rushwa. Mbona wenzetu wengi wanakusanya kodi kwa...
Kesi ya Lundenga Sept. 23
na Vumilia Kondo
Tanzania Daima~Sauti ya watu
KESI ya madai inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency International, waandaaji wa shindano la Miss...
Je ulawiti wanaofanyiwa watoto wa kiume ni tatizo la jamii au la kisaikologia? Nimepata taarifa nisizokuwa na ushahidi nazo wa kutosha kwamba wanafunzi wa darasa la pili na la tatu katika shule...
Govt orders major traffic crackdown
By Kagashe Beatus
THE CITIZEN
The Government yesterday ordered the police to immediately mount a countrywide crackdown on defective vehicles and...
Marafiki walimuonya Kikwete
Ansbert Ngurumo
MWISHONI mwa mwaka 2005, baada ya Rais Jakaya Kikwete kuingia madarakani, baadhi ya watu waliokuwa karibu naye kikazi na kifamilia walimuonya...
Kuna njama za kuwachafua zaidi Karamagi, Msabaha
Peter Nyanje
KWA mantiki ya kawaida, choki huwa safi baada ya kuoshwa kwa maji safi. Chombo kilicho safi, iwapo kitaoshwa na maji machafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.