Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

SOURE: Habari Leo Shadrack Sagati Daily News; Wednesday,September 03, 2008 @00:02 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema majasusi wa Marekani wamechunguza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shule niliyo somea darasa la kwanza mpaka la nne ilikuwa na Bush school pembeni, ambayo leo inaitwa chekechea.Hii ilisaidia kumuandaa mtoto ili awe na mkao wa kusoma anapoingia darasa la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mtu mzima sasa,wa takriban miaka 53.Nimesoma kidogo, kiasi cha kuwa na degree ya pili katika fani ya kilimo.Lazima niseme ukweli kwamba nimesoma vitabu vingi,majarida ya aina mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ule utamaduni wa watanzania kutovumiliana na kuvunja sheria unaendelea tena usiku huu ambako wanafunzi wa shule ya sekondari ya Lugoba wilayani chalinze mkoa wa pwani wamefanya fujo na kuchoma...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hawa wasomi walioko TBS(Tanzania Bureau of Standards),TFDA(Tanzania Food and Drugs Administration) na Wizara ya Afya sijui vipi.Miaka nenda miaka rudi tunaona bidhaa feki ikiwa ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mizani zetu zinazopima uzito ma magari ni mradi bora zaidi kwa wenye kutamani utajiri wa haraka haraka.Mafisadi vidagaa watarajiwa jiungeni katika wizara husika ili mkusanye hela ya bure. Jana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kufuatilia mjadala bofya hapa chini, CHADEMA yafikiri kujiengua ushirika wa wapinzani! Gustanza vita dhidi ya Mafisadi si ya wachache. Ni ya Watanzania wote wenye nia njema na nchi hii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
US presidential poll ‘will not affect ties’ KILASA MTAMBALIKE Daily News; Wednesday,September 03, 2008 @00:02 Results of the US presidential elections later in the year would not have any...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu yetu, mwenzetu Bwana Lowassa ametawazwa rami kuwa kiongozi wa kimila wa jamaa zetu Wamasai. Kusimikwa huko kutampa nafasi ya kufanya ziara Arusha, Arumeru, Monduli, Morogoro, Usangu na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Date::9/1/2008 Tunashindwa kuwaelewa viongozi na ngonjera za ufisadi Elias Msuya Mwananchi KWA mara nyingine tena Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amerudia kosa lile lile alilolifanya bosi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...basi ufisadi ungetokomezwa Tanzania Date::9/2/2008 Televisheni bandia za Sh500 milioni zateketezwa na serikali Dar Na James Magai Mwananchi TUME ya Ushindani Huru Kibiashara jana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mengi alia na mafisadi,adai wanataka kumharibia uhusiano *Abainisha hana ndoto za kuwa mwanasiasa Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI Mtendaji wa IPP, Bw. Reginald Mengi, amesema...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Nimepokea taarifa ifuatayo kwenye barua pepe yangu. Licha ya kuniarifu kwamba nimepata bahati nasibu ya uingereza ya mamilioni ya pouni, lakini ili wakamilishe taratibu za kunitumia hayo...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
One of the income generating acitivity in the city of Dar es salaam is selling seedlings and flowers. When moving along Morogoro road you will see a lot of people selling seedlings/plants of...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
President of the Revolutionary Government of Zanzibar, Amani Abeid Karume receives a souvenir from US Actor and Musician Will Smith in Zanzibar State House yesterday.(Photo by Ramadhani Othman...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Hili ni kwa wale wote wenye mapenzi !!!nikiwa katika concert la P SQURE Kulikuwa na mambo mengi ya ajabu mengine ambayo ni lazima yawepo katika jamii ila hili kidogo lilinishtua!!!!jamani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MKUU ACHA KUCHEZA NA MAISHA YA WATU HUU SI UTAWALA WA KIFALME KAMA UNAVYODAI UKIJIUZULU UTAFUTIWE MBADALA WEWE UNAWEZA KUTAFUTA MBADAKA NA MAITI ZA WATOTO WASIO NA HATIA WALIOATHIRIKA NA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tazara on the brink of collapse as managers get changed Written by DANIEL SAID THE CITIZEN Saturday, 30 August 2008 DAR ES SALAAM, TANZANIA- All is not well at the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Seif fans flames of Union debate CUF secretary-general Seif Shariff Hamad. By Salma Said, Zanzibar THE CITIZEN The debate on the status of Zanzibar in the Union has resurfaced again...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiangalia kwa mshangao mambo mengi yanayoendelea Tanzania.Kwa mshangao, kwa vile tunafanya mambo yetu utafikiri wote kesho tutakufa,yaani kwa kimombo 'we will all be dead tomorrow'.Hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom