Wakuu,
Taarifa ya Reuters inasema jengo moja la ghorofa 4 limeanguka huko YEMEN.Wafanyakazi wa uokoaji wanajaribu kutafuta waliofunikwa na kifusi ambapo inakisiwa hadi sasa watu wawili...
Kikwete na Mizengo Pinda wameamua kwa makusudi kudhorotesha matumizi ya haki, na kuwaaacha watanzania wengi wakiwa wamenyimwa haki zao za msingi.
Je bado watanzania tunahitaji utawala wa hawa...
Kuna mnavyooelewa, sasa hivi nchi ya Marekani inajiandaa na uchaguzi mkuu unaowakutanisha wagombea wawili ambao huenda wakawa na mtazamo tofauti katika foreign policy. Wagombea hao ni Barack Obama...
Lipumba: Ufisadi ni matokeo ya utawala mbovu
2008-08-29 09:31:45
Na Dunstan Bahai
Matukio ya rushwa, ufisadi na nyufa mbalimbali zilizojitokeza kwenye Muungano, ni matokeo ya kuwa na...
India floods: 20 die as rescue boat capsizes
Official death toll in Bihar state climbs to 75 but aid agencies claim thousands are missing
Staff and agencies guardian.co.uk, Saturday August...
Economy at 60-year low, says Chancellor. And it will get worse
Chancellor says Labour failing to communicate with voters
Nicholas Watt, chief political correspondent
The Guardian...
Kesho Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania linatazamiwa kufuta madeni yenye dhamani ya shilingi 12 Bilioni , hii ni kutokana na vile visingizio kuwa madeni haya hayalipiki, mara wadaiwa...
[Tanzania: UK Speaks Out On BoT Prime Suspect
British high commissioner to Tanzania, Mr Philip Pharam, yesterday said he was not aware of business tycoon-Jeetu Patel's whereabouts...
Hi,
Sorry fro cross postiong but this is due to my understanding that yo
have got so many ways of postiong this online and make it known to
many people than i do.
Ninaandika haya nikiwa...
Of all the people in the world these great fighters against CORRUPTION had the guts to stand and say wameridhishwa na hatua zilizochukuliwa na SERIKALI maana yake ni kwamba zile BLAH BLAH za PINDA...
KWA umoja wao vyombo vya habari Tanzania baada ya kuwa co-opted na wajanjuzi wa Chama twawala waliwaona wagombea ukuu wa chama hicho kuwa ni malaika.
Miaka miwili na nusu baadaye leo Alhamisi...
...urais vijana wa Tanzania?
Tunaona wenzetu Wamarekani pamoja na kuwa ni Taifa kubwa lakini limewaamini vijana wenye umri sawa na miaka ya uhuru wa Tanzania. Obama ana miaka 47 na VP wa Mcsame...
Ni hapa hapa Dar es salaam, katika Shule ya Msingi Mkunguni ambako watoto wapatao tisa walianguka juma lililopita kwa mapepo. Juzi zaidi ya wanafunzi 20 walianguka na kupoteza fahamu huku wengine...
katika hali ya kushangaza Mbunge wa kuteuliwa Kingunge Ngombare mwiru amewashangaa wabunge wa CCM wanaoiponda serikali kwa madai ya maslahi ya taifa badala ya kukutetea na kukilinda chama chao...
BT launches TelePresence: BT has raised the quality bar yesterday by introducing a revolutionary new "virtual meeting" system it believes will transform the way people work with remote colleagues...
Tangazo la serikali kuzuia mabasi uingizaji wa mabasi ya abiria yenye zaidi ya miaka 5 ni Ufisadi wa hali ya juu na hujuma kwa sekta ya usafiri Tanzania.
Nataka kuingiza mabasi ya bairia ya...
Date::8/28/2008
CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi .....
Kizitto Noya na Saa Mohamed
Mwananchi
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema...
Malaysian opposition leader Anwar Ibrahim has won a landslide victory in a by-election in Penang.
A high turnout saw his People's Justice Party winning 31,195 of 47,000 votes, the Election...
Wanajeshi wadaiwa kutembeza kipigo kwa raia, 10 taabani
Na Mwandishi Wetu,Tanga
BAADHI ya askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kambi ya Maramba mkoani Tanga wanadaiwa kutembeza kipigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.