assalam alheikum wana ndugu nipmepata hii email imenishtua kidogo hata kama ni mkenya bado nina hamu kubw na uchungu kwa watanzania wenzangu nauliza haya ni ya kweli????
KASHFA NZITO YA KIKWETE...
Been to couple and don't drink coffee, but theres one on ever damn corner, and the one in the mall has people living in it. That said huwa naenda kule for one purpose only:
To link up with...
Kwa Tanzania haswa maeneo ya mijini ni kitu cha kawaida kabisa kukuta sehemu nyingi tu za kukodisha filamu kwa mfumo wa dvd , cd na kanda za kawaida biashara hii kwa sasa imekuwa sana na vijana...
Former Thai PM Thaksin Shinawatra has returned to his homeland, 17 months after being deposed in a military coup.
Thousands of flag-waving supporters, including key figures in the newly elected...
Obma ni Msomali?
Obama ni msomali?
Sen. Barack Obama, D-Ill., right, is dressed as a Somali Elder by Sheikh Mahmed Hassan, left, during his visit to Wajir, a rural area in northeastern Kenya...
Ni mapambano au mapambo ya rushwa na ufisadi?
Waziri Kindamba, London Februari 27, 2008
Raia Mwema
MATOKEO ya Kamati teule ya Bunge kuhusu mkataba wa kufua umeme wa kampuni ya Richmond...
Baada ya miaka 14 baada ya kuondolewa kwa makaburu bado hali kimaisha ya waafrika wa SA ni duni!
Asilimia 80 ya ardhi bado ipo kwa wachache wazungu na karibu uchumi wote.
Watu wengi sasa...
Samahani kwa kuwakurupukia na maswali yaliokuwa na hasira kwa kufutiwa posts zangu zote.
Nafuta samahani hiyo kwa kuwa (a)ni kweli posts zangu zote zilikuwa zimefutwa kwa wakati huo. (b)...
Mwaka jana kati ya mambo tuliyoyasimamia ni kutoa misaada mbalimbali kwa vijana waliokuwa Ukraine. Kuna wale ambao walitumia tovuti ya podomatic kuchangia kwa kutumia kadi na kuna wale waliotuma...
Kuna mdau amenitumia hii nyepesinyepesi nikaona niibandike hapa.
Naye Lowassa akawaambia mawaziri wengine"
KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr Mwakyembe.
Nami naenda...
Heshima kwenu wakuu!!!!
Naomba msaada kwa watu wenye uelewa na maada hii-
Hivi mtu akitaka kuandika mtihani wa CISCO ni lazima asome shule zao ama unaweza enda tu kuripia pesa na uka andika...
Posted Date::2/23/2008
WAHESHIMIWA wasomaji wangu,
Kwanza sina budi kusema kwamba mimi kweli naunga mkono mia kwa mia juhudi za serikali yetu tukufu kutulinda sisi Watanzania dhidi ya wazushi...
Bush orders clampdown on flights to USEU officials furious as Washington says it wants extra data on all air passengers
Ian Traynor in Brussels
The Guardian,
Monday February 11 2008
The...
An October 2005 article in the British journal New Statesman listed Obama as one of "10 people who could change the world,"[171] the only politician included on the list.
In 2005 and again in...
WAKATI gumzo kuu nchini kwa sasa ni juu ya hali mbaya ya kifedha ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) mazungumzo yanaendelea kuhusu Tanesco kukodisha sehemu ya mfumo wake wa gridi ya...
Nimepewa habari hii na ndugu Ushirombo ikiwa na mada haya .Natafuta ukweli na kama kuna mwenye kuujua ukweli basi tuungane .Waandishi wa habari najua mnapita hapa tafadhali msiishie kwa Bush pekee...
na Amana Nyembo
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), jana walivamia ofisi za Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam na Pwani (DAWASCO) zilizoko eneo la Ubungo Terminal jijini...
Wakuu nawapa hongera kwa kuiwezesha Jambo forums kurudi kwa kasi mpya.
Suali nililonalo ambalo pengine hapa si pahala pake lakini ni sehemu ambayo inatembelewa na wasomaji wengi kuliko pengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.