Wana JF;
hapana shaka kuwa kurejea tena kwa JF kutawasisimua sana hata wale ambao hawakuwa wakifuatilia ukumbi huu wa majadiliano. Je, mnadhani baada ya zogo lile kupita, JF itapata umaarufu...
Kuna sehemu/eneo flani katika Jiji la Mwanza linanichanganya jina. Naomba wadau mnisaidie lipi sahihi kati ya haya;
Pasiansi
Pansiasi
Pasiasi
Pansiansi
Asanteni.
Akiongea na wazee wa Dar-es-salaam pamoja na mambo mengine Rais alisema
"Ni kweli kwamba kwa muda wa wiki nzima nchi yetu na hasa siasa na uongozi wa Taifa letu vimepata mtikisiko mkubwa. Ni hali...
Hello wadau wa soka, The gunners mpaka sasa dakika ya 78 wanaongoza kwa mabao 2-1 dhidi ya Birmigham city. Hadi Kipindi cha kwanza Arsenal walikuwa wamelala kwa bao moja lililopachikwa kimiani na...
Msanii mkuu wa CCM avamia mkutano wapinzani, polisi wamshusha jukwaani
*Helkopita ya Mbowe yawatia kiwewe CCM
*Jitihadha za RC, DC kuizuia zakwama
Na Waandishi Wetu Kiteto na Dar
MBUNGE wa...
Mfanyabiashara maarufu akabidhi mil 700/-
BAADHI ya waliochota mabilioni ya fedha serikalini chini ya mpango wa kuagiza bidhaa mbalimbali nje ya nchi yaani Commodity Import Support (CIS)...
Hili ni ombi rahisi (simple request) kwako waziri mkuu mpya wa Tanzania mheshimiwa sana Mizengo Pinda (kama unavyojulikana hapa JF kama MP).
Tafadhali sana waachie hao members wawili wa JF...
'I don't hate Muslims. I hate Islam,' says Holland's rising political starGeert Wilders, the popular MP whose film on Islam has fuelled the debate on race in Holland, wants an end to mosque...
Huyu KILONGOLA katuhumiwa na WENYENCHI(wananchi)Kasulubiwa na wenzio,halafu kodi ya WENYENCHI itaendelea kumlea isitoshe mgao wake,ukawa zaidi ya KILONGOLA wa sasa jamani wakuu HESHIMA MBELE...
Wana JF
Taarifa tulizopata kwa wiki hii nzima hasi leo, zomebainishwa yafuatayo:-
1. Lilian Mashaka amekuwa akitoa mambo yanayohusu TAKUKURU na Hosea ili akamaate uongozi wa TAKUKURU,
2...
Breaking News kutoka Sky News ni kwamba Fidel Castro amejiuzulu urais waCuba na u-commander-in-chief wa jeshi la nchi hiyo (imebidi ni-edit heading baada ya kuona YeboYebo kisha-break hiyo news)...
Cuba's ailing leader, Fidel Castro has announced he will not return to the presidency in a letter published by official Communist Party paper, Granma.
"I neither will aspire to nor will I...
Heshima kwa wanaJambo wenzangu. Nimekuwa nikifuatilia hili swala la serikali (through jasho la wananchi) kuendelea kuwatunza viongozi waliostaafu. Sina shida na wale waliostaafu sababu hata...
Mohamed El Fayed leo ametoa ushahidi wake na haya ndio yaliyojiri leo kwenye Inquest ya Princess Diana (in bullet points).....
Harrods owner Mohammed Al Fayed has appeared before a coroner...
Top 10 of the Worlds Weirdest Compensation Claims
Posted on February 18th, 2008 in Humour |
We thought we would start the week of with bringing you a selection of the...
Aboriginal leaders welcome apology
Story Highlights
Aboriginal leaders welcome apology and hail new era in indigenous relations
Canberra will issues apology to "stolen generation" of...
Revealed: Mkapa was behind dubious TICTS deal
-Mramba, Karamagi also closely involved
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
FORMER president Benjamin Mkapa personally ordered the dubious...
Nimeichukua hii kwa michu, I don't know what he is talking about when he referred to "our leaders efforts" Does he know anything about various scandals in our beloved country including Mkapa's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.