Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Current Travel Warnings Travel Warnings are issued when the State Department recommends that Americans avoid a certain country. The countries listed below are currently on that list. In...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Posted Date::11/29/2007 Watoto wafia kwenye gari kwa kukosa hewa Jackson Odoyo na Prisca Mussa Mwananchi WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia kwa kukosa hewa baada ya kujifungia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MegaPyne
WanaJF. Kwa kile ambacho naona kimetokea ni kwamba. Serikali kupitia DailyNews TSN wameanzisha forum yao.
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Wikiendi iliyopita nilitembea Hifadhi za Ngorongoro na Lake Manyara ambapo nililala Karatu Jimboni kwa Mhe. Slaa kwa siku mbili. Wakati narudi nilipitia Lodges kadhaa na nilivutiwa sana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sarkozy Calls French Riots Unacceptable Posted: 2007-11-28 06:45:15 PARIS (Nov. 28) - French President Nicolas Sarkozy said Wednesday that rioters who shot at police would be brought to justice...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAPA NCHINI WATU WAMEKUWA WASHABIKI HASA KWA VIONGOZI WANAUME AMBAO HAWAJAOA KWA KUONA NI MOJA YA SIFA YA KUTOKUBALIKA KUWA KIONGOZI,JE INA MANTIKI HIYO EBU SOMA MIFANO YA VIONGOZI AMBAO NI SENIOR...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kamati Ya Bunge Ya Kuchunguza Sakata La Umeme Wa Dharura Wa Richmond Development Cororatiion Llc, Itawahoji Wahusika Wote Wakiwamo Wajumbe Wa Task Force Iliyondwa Na Waziri Mkuu E.lowassa. Je, Na...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisubiri ripoti hii ya Human Development na hatimaye ndio imetoka. Ukiwasikiliza watawala wetu inaonekana kuwa Taifa letu linapiga hatua kubwa ya maendeleo na wananchi wafurahie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sasa mbona hayuko kwenye kituo chake cha kazi kazi? au JK kaamua kubadili mawazo ? Hapa yuko na JK UGANDA juzi hapa ni London: kwenye Party lakini katika picha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gazeti la THIS DAY ambalo lilikuwa mstari wa mbele katika kuwafahamisha Watanzania ufisadi mbali mbali uliofanywa na Mkapa akiwa Ikulu, Mikataba bomu ya madini, Mkataba wa wamiliki wa TANESCO na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
The East African (Nairobi) COLUMN 26 November 2007 Posted to the web 26 November 2007 Karl Lyimo Nairobi Tanzania has been at the crossroads for a generation now and must make up its...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Pengine nipo nyuma kitaarifa. wana JF na chadema kwa ujumla sijamuona mh. Mbunge Halima Mdee kwa muda. Mdee alikuwa changamoto nyingine ndani ya Bunge baada ya Zitto lakini kwa sasa hasikiki wala...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Najua wengi wamepoteza interest na haya magazati.Lakini naona ni vema mara mojamoja kuangalia yaandikwayo. LETTER FROM NAMIBIA : Is Bongo that corrupt? Kiangiosekazi Wa-Nyoka, Windhoek...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukisema itatokea wiki hii, mimi nasema haitatokea; ukisema haitatokea wiki hii mimi nasema itatokea; ninachozungumzia ni kile ambacho wengi tunasubiri kitokee au tunadhani kitatokea au kinapaswa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Siku za hivi karibuni kumekuwa na matumizi ya maneno hayo kuwa tunafanya jambo fulani kwa "maslahi ya Taifa" au watu fulani hawakufanya jambo fulani kwa "maslahi ya Taifa" n.k Kilele cha matumizi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kuna wakati Fulani niliwahi kuona tangazo katika mtandao , jamaa mmoja akawa anauliza jinsi ya kujiondoa katika mchezo wa gulio katika mtandao wa tigo , sina uhakika alifikia wapi katika swali...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ngoja nianze kwa swali, Msisitizo wa utaifa na kubebeshwa bendera ya Tanzania ni pindi Taifa Stars inapocheza tu? Majuzi raisi Kikwete akiwa Uganda alifanya mazungumzo na wanafunzi kwenye chuo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilishawahi kusema Tanzania tuna matatizo makubwa haya kazi kwenu... kwa hisani ya Michuzi Blog East Africa's Most Respected Companies 8TH East Africa's Most Respected Companies Survey Company...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Target Setting for Success- Lessons on Personal Branding A talk by Eric Kimani to the British Council Leadership Forum in Nairobi, Kenya on 19.09.2007 Distinguished guests ladies &...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenzetu, ndugu yetu na mwana familia wa JF bwana SAIDI YAKUBU ama maarufu kama SY ameamua kufunga blog yake na hajatoa sababu zozote za msingi zaidi ya kuwa sababu binafsi na mie kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom