Howard's reign in Australia ends
Staff and agencies
Saturday November 24, 2007
Guardian Unlimited
Prime minister John Howard today admitted defeat in Australia's general election, and...
Jamani kwa wale watanzania tulioko US, happy thaks giving kwa kila mtu. Kwa watanzania wenzangu walioko nyumbani na sehemu zingine duniani. Kila la heri na mafanikio kwa mwaka 2007.
Hii ni...
Vyanzo vyangu vya hapa USA vimethibitisha uvumi ambao kwa muda umekuwa unaendela Tanzania kuwa serikali ya marekani ina mpango wa kujenga kituo cha kijeshi cha kudumu (permanent base) nchini...
Hours after Pakistani President Gen. Pervez Musharraf cleared the final legal hurdle to being re-elected to a third five-year term, the 53-nation Commonwealth on Thursday suspended Pakistan from...
Kweli nakubali kwamba sisi ni masikini sana na ili vyombo vya habari vijiendeshe vinahitaji fedha ambayo inatokana na matangazo,kinachoniudhi na kunikwaza ni pale ambapo unaangalia TV mara...
It is with deep regret and sorrow that we have to inform friends and the wider Pan-African community that our father M.W. Kanyama Chiume passed away peacefully last Wednesday, November 21, 2007...
ANGALIA HII EMAIL MWANDISHI ANASEMA IMETOKA CNN NEWS , AMETUMA EMAIL YA KUMKASHIMU MWINGINE KWA MAKUSUDI KABISA JAMANI HII NI HAKI KWELI
CNN NEWS <computer20067@yahoo.com> wrote:
Date: Wed...
Dumb Tanzania?
Adam Lusekelo
Daily News; Wednesday,November 14, 2007 @00:01
Adam Lusekelo
WE are getting to be quite a nation of great pretenders. I am not surprised that nearly all...
Jamani kuna picha nimeiweka hapa chini nisaidieni kuibandika (mimi sijui kubandika picha JF)
Ukiangalia hiyo barabara na hayo magari kweli unaweza kuikana hata nchi yako. Hivi kweli maisha bora...
Howard election campaign hit by dirty tricks scandal
See the fake leaflet (pdf)
Barbara McMahon in Sydney
Thursday November 22, 2007
Guardian Unlimited
The husband of the Australian...
Kila siku tunalia hali ngumu ya uchumi,mara vigogo wanaiba fedha ya nchi yet tunawafahamu hata kwa majina mmojammoja lakini najiuliza inakuwaje wakati wa uchaguzi tunawachagua hao hao tunaowaoita...
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuzifanyia uchunguzi wa kina asasi zisizo za kiserikali (NGO`s) zinazosamehewa kodi kwa kuwa baadhi yao zinafanya biashara.
Aidha, imeiagiza...
Inasikitisha sana kuona Kampuni hii yenye dhamana ya moja kwa moja na maisha ya watu imeweza kukiuka maadili yake kwa kiwango cha juu sana. Nimeona niweke hii thread hapa JF ili tuijadili maada...
Kwa muda sasa nimekuwa najiuliza uzuri wa CCM kumpa heshima huyu Seif . Kapewa mafao yote na ulinzi nk .Najua haki hizi ni zake tangia mwanzo hata kama alikuwa upinzani lakini kwa CCM na...
Aibu tupu Dodoma
2007-11-07 15:40:07
Na Mary Edward, Dodoma
Licha ya kinyang`anyiro cha uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi CCM, kumalizika salama, lakini aibu zilizotokea huko zimebaki...
Madaktari watimuliwa
SAKATA LA MOI
na Lucy Ngowi
Tanzania daima
SAKATA la upasuaji tata katika Taasisi ya Mifupa na Tiba Muhimbili (MOI), limechukua sura mpya baada ya mgonjwa...
Ni hakika kuwa CCM imepoteza mwelekeo. Viongozi na makada wake. Nimekata tamaa kiasi cha kuombea waondolewe madarakani haraka.
Sina shaka na vyama shindani vya CCM, japo ni vichanga lakini...
Je tumefika mahali ambapo tulitaka kufika kama Taifa? Je hapa tulipo ndipo wazazi wetu waliposimama kulilia uhuru na kuwa Taifa walitarajia ndipo tungekuwa? Je hapa tulipo ndipo kwa haki yote...
Nakuja na habari hii ambayo inasikitisha sana lakini chanzo chake ni uongozi mbaya na rushwa kutawala Musoma na kulindana kuanzia Mkoani hadi Wizarani.
Ndugu zangu, nimekuwa katika hospitali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.