MAKING AMERICA GREAT AGAIN.
Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke.
Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani
Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali...
Mwanzoni wakati kampuni inaanzishwa kilitengenezwa kinywaji cha limao(lemon) mmiliki Charles Leiper Grigg akatoa kazi kuwa anatafuta jina la kipekee na linalo vutia macho ya watu kwaajili ya...
Ktk hali ya kustaajabisha juz waziri mkuu wa zamni wa Kenya ndugu Raila omong Odinga alikwenda nchini Burundi kuomba uungwaji mkono kwa rais wa Burundi kweny kinyanganyiro cha mwenyekiti wa umoja...
Wakuu,
Tunaposema vijana muwe makini na mapenzi hii ndio maana yake
=================================================
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miezi...
Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge..
Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana...
👉🏾Enyi kizazi cha 2000! ,nafuraha kukujuza yafuatayo!
Kadiri ya mapokeo ya Kanisa, tarehe 14 Februari inahusishwa na kumbukumbu ya Valentine, ambaye alikuwa kasisi aliyeishi katika karne ya tatu...
Bodaboda wanahitaji maombi sana ili wamrudie Mungu Hawa vijana ni kama wengi wamefungwa bila wao kujua.
Kanisa ndio sehemu sahihi ya mtu kupata msaada na maarifa ya kupata pesa kihalali huko club...
Wakuu Habari Za Uzima, Nimekuwa Msomaji na Mfuatiliaji Wa Stories Mbalimbali Humu Jamiiforums, Kuna Members Walileta Story hizi ila Zikanipotea, Naomba Mwenye Nazo Au Mwenye Link Anisaidie.
1...
Kwa manew comers wabongo wapya wapambanaji.
Kazi rahisi kupata nchini Marekani mara nyingi ni kazi za kuingizio (entry-level) ambazo hazihitaji ujuzi maalum au uzoefu mrefu. Hapa ni baadhi ya kazi...
Leo nimeota naongea na yesu Kristo ameniambia mambo mengi sana ila mengine ameniambia nisiseme.
Amesema kuanzia jumatatu atakuja
Make sure mnatenda mema
Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani...
Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24.
Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi...
Pamoja na demand ndogo ya taifa letu kupokea wanafunzi wa nchi za nje lakini katika hao, sehemu kubwa wananyooka moja kwa moja Udsm, Ni kwamba hawaoni vyuo vingine ?
Byuo vingine ni nadra sana na...
Tunakumbushana.
Uchaguzi wa viongozi wa kanisa utakuwa mwaka huu katika GC Session itakayoketi pale America’s Center Convention Complex, St. Louis, Missouri, USA, session ambayo itarudi katika...
Baada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi...
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania?
Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa.
Hakuna kampuni inayoitwa LBL...
Kabla ya kufahamu ubatizo ni nini…Hebu jiulize mtu katokea na akakuuliza “kuzamisha maana yake ni nini?”..utamjibuje?…Bila shaka utamwelezea kwa kina kwamba ni kitendo cha kukitosa kitu chote...
Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter
MADHARA YAKE
Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.