Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wakuu Kumekuwa na kawaida katika nyumba mbalimbali iwe masebuleni au vyumbani midori ikionekana imesheheni, baadhi hupamba midori katika meza na makabati, wengine huthubutu hata kuwa na...
15 Reactions
62 Replies
7K Views
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani...
41 Reactions
442 Replies
77K Views
Habari wana jamvi!? Nimekua katika masuala ya kitaifa kwa mda wa miaka 20, nimeona kwa namna tofauti tofauti jinsi mambo yanavyo endeshwa kisiasa, kiuchumi, mpaka kimadaraka na kugundua hiki kitu...
4 Reactions
15 Replies
382 Views
Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu. Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua...
4 Reactions
11 Replies
321 Views
Haya maono niliyapata kitambo sana ila leo nimeamua kuyawasilisha. Watu wengi wana mtindo wa kununua maeneo halafu wanatafuta mwenyeji wa pale wanamkabidhi awalindie. Wanamruhusu "mlinzi wao"...
1 Reactions
5 Replies
219 Views
CREATING DEMONS THROUGH MASTURBATION & FORNICATION! Sefer haZohar ~ Rabbi Yehuda said: When a man emits seed in vain, those drops of seed go forth and ascend into the air. They do not enter the...
0 Reactions
2 Replies
127 Views
Mimi moja ya vijana wenye ndoto na Ulaya binafsi yangu sina connection yoyote ya kwenda huko ila nakumbuka zamani nikiwa shule ya msingi nilikuwa na ndoto za kupata mwanamke wa KIZUNGU Ili iwe...
0 Reactions
10 Replies
255 Views
Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
6 Reactions
7 Replies
388 Views
Hii rule ipo kwenye nyanja 5; 1. Kibinafsi 2. Kifamilia 3. Kiimani 4. Kikazi 5. Kimahusiano Naomba nizungumzie kwa upande wa Kibinafsi na Kiimani. Sisi binadamu tumekuja Duniani kuishi na...
31 Reactions
174 Replies
6K Views
Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu" Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda...
6 Reactions
18 Replies
796 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la...
2 Reactions
8 Replies
297 Views
Habari kuruta, hivi hizi tovuti za serikali au zozote zile za hapa nchini zinatengenezwa na nani? Seva zake zipo wapi? Mbona zimejaa madudu! Plus zipo slow sana kuLOAD na mambo mengine. Karibia...
0 Reactions
1 Replies
65 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga, kuhakikisha mkandarasi wa barabara ya...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Weledi wa kazi umepunguwa, watu wamegeuka miungu watu , yaan fulu tafurani. Kuna Mahali nilikuwepo kama wiki tatu, watumishi wanaingia kazin kuanzia mishale ya saa tatu mpaka nne Asubuhi . Saa...
9 Reactions
39 Replies
919 Views
  • Redirect
https://www.youtube.com/live/bkEY8USUkqY?si=wm2vv7CpZh-oXolH Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa atalipwa zaidi ya $16M karibu KSH 2Milioni au TZS 40M Kwa mwezi, Lakini pia Mwenyekiti...
0 Reactions
Replies
Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), leo Tarehe 15 Februari, 2025 Addis Ababa...
1 Reactions
4 Replies
339 Views
Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba. Pia wanasiasa wasiojua...
3 Reactions
1 Replies
164 Views
Waziri anayehusika na utumishi Simbachawene asema asilimia 40 ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo swali kwa nini hawaachishwi kazi? Wapishe wengine? Serikali kwa nini inaendelea kuwakumbatia...
11 Reactions
115 Replies
4K Views
Habari wana jamvi! Nisiwachoshe kama ambavyo hampendi kuchoshwa. Mwaka jana mwezi wa nane nikifanikiwa kutimiza haja ya moyo wangu baada ya kufanya savings ya miaka 25 kukusanya pesa ya mtaji...
2 Reactions
3 Replies
176 Views
Back
Top Bottom