Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, mkoani Morogoro, kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa mnara wa...
Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele...
Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, inayoongozwa na Mwenyekiti Jackson Kiswaga, imeridhishwa na ujenzi wa bwawa la maji katika Kijiji cha Kizengi, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora.
Pia...
Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu imetembelea kukagua miradi mitatu ya uboreshwaji wa uwanja wa ndege, reli pamoja na bandari ambapo pia watatembele ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani...
Kamati ya Siasa Wilaya ya Chamwino, Dodoma, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino, George Malima, imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa...
Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo.
Mwenyekiti...
SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona...
Method Damian Kumdyanko mkazi wa Sinza Dar Es Salaam anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wenye silaha siku ya Februari 28, 2025 nje ya geti la nyumba yake Sinza Dar Es Salaam.
Akizungumza na...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu kuvipatia vyama vya siasa nafasi sawa katika...
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi magari 12 kwa Maafisa wa Uthibiti Ubora wa Shule, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mifumo ya usimamizi wa elimu nchini...
Katibu wa Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto Khamis, amezindua rasmi Kituo cha Mafunzo ya Amali kilichopo Mbuzini, ndani ya Jimbo la Bububu. Kituo hiki kimejengwa...
Ndugu zangu wananchi wa Mchinga,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa changamoto zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika jimbo letu. Tunatambua kuwa mvua hizi zimeleta athari kwa...
Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi...
Mimi sio mwana siasa ila nimewaza sana endapo hii kampeni Chadema walio kuja nayo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Chadema kuelekea uchaguzi mkuu wamekuja na kampeni ya NO REFORM NO ELECTION...
Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba akiwa ziarani katika Jimbo la Busanda Wilayani Geita Mkoani humo, amejikuta akishindwa kufikia miradi kwa wakati baada ya Msafara wake kukwama njiani kutokana...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kuhani Zangina S Zangina, kipindi cha Uandikishaji Wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2025 alitembelea maeneo mbalimbali ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema linamshikilia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani humo Swahibu Juma Mwanyoka kutokana na tuhuma zilizoripotiwa.
Katika taarifa iliyotolewa na...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga...
Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.