Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakuu mamlaka husika fikeni TANESCO SHINYANGA MJINI vibarua wanapitia changamoto sana hakuna mfumo rasmi wa malipo ni miezi miwili hawajalipwa na hawajui watalipwa lini inglieni kati kuboresha...
2 Reactions
4 Replies
77 Views
wilaya ya kahama kuwa na vyanzo vya mapato na madini lakini kama naona makao makuu ya mkoa yana lazimisha shinyanga kuwa yenye kila kitu kizuri kuanzia barabara za ndani mataa ya barabara wakati...
0 Reactions
1 Replies
94 Views
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio...
1 Reactions
4 Replies
285 Views
Wakuu habari za Leo? Naomba kwanza kusema ya kuwa Mimi nilikuwa ni Mwajiriwa wa Kanisa la Anglican Tanzania na nilikuwa nikifanyia Diocese ya Central Tanganyika (DCT) pale Dodoma. Nimefanya nao...
5 Reactions
7 Replies
432 Views
Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira. Kinachogombaniwa hapa ni mashamba mipakani mwa vijiji vyao. mgogoro huu unasababishwa na tajiri...
2 Reactions
7 Replies
285 Views
Tanzania njoo na akili yako tu pesa utazikuta nchini huu ni msemo wa wageni. Baada ya kampuni ya ponzi pyramid kuwapiga Watanzania wamekuja kivingine wanajiita DBA, imeanza tarehe 7/3/2025 kwa...
2 Reactions
3 Replies
221 Views
UTANGULIZI TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya...
0 Reactions
4 Replies
765 Views
Wakuu, Kuna hii video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, huyo jamaa anasema wako katika hospitali maeneo ya kipawa majani ya chai. Ambako yeye na wengine wanaumwa ugonjwa kama huo wametengwa...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Sisi baadhi ya walimu wa wilaya ya Busega ambao tuko 153,mnamo mwezi wa 7/2024 tulimwandikia mkurugenzi wetu ndugu Marco Kachoma barua ya kutuondoa chama Cha walimu CWT na kutuhamimishia chama...
4 Reactions
15 Replies
592 Views
Kwa muda mrefu, shule binafsi za msingi zimekuwa na utaratibu wa kupitiliza muda wa masomo kwa madarasa ya mitihani, kiasi cha kuwafanya watoto wakae darasani kwa saa nyingi kupita uwezo wa...
2 Reactions
23 Replies
485 Views
Mimi ni tenderer kwenye mfumo wa NEST ambao mwanzoni ulikua mzuri kabisa. Na kama kijana nilihamasika kucomply ili niweze kuwa naomba kazi za Serikali. Ni fani ya Ushauri Mazingira. Lakini kwa...
0 Reactions
0 Replies
4 Views
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant...
44 Reactions
590 Replies
68K Views
Wiki iliyopita siku ya Jumamosi, Watoto waliporudi nyumbani walileta taarifa ya kushtua kuwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing (NHC) inauzwa, na wazazi tunahitajika kufika shuleni leo...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo...
3 Reactions
10 Replies
510 Views
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna...
51 Reactions
335 Replies
51K Views
TRA wamekua wakitamani sana kufanya mabadiliko na maboresho kwenye huduma zao lakini kuna jambo bado HAWALIFANYII KAZI AU HAWALIJUI. Pia nina mashaka sana na UWEZO wa watu wao wa kitengo cha...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Mwaka 2017 serikali ilileta utaratibu mzuri mno wa wananchi wa Tanzania kupata kitambulisho hiki muhimu cha Taifa Iliendesha zoezi la kujiandikisha kuweza kupata vitambulisho hivi kila kijiji, na...
3 Reactions
8 Replies
445 Views
Kuna taarifa ya kuwa Meli ya MV. Victoria imesitisha kufanya safari kwa takribani wiki mbili sasa, hiyo ni baada ya kupata hitilafu kwenye mfumo wa uendeshaji lakini mamlaka inayohusika ya...
2 Reactions
7 Replies
550 Views
Anonymous
Mimi ni mwajiriwa wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wananikata TALGWU tokea nimeajiriwa bila kushirikishwa na bila kuandika jina la kujiunga na bila kutia sahihi yangu sehemu yoyote...
0 Reactions
6 Replies
149 Views
Katikati ya eneo la Kitungwa na Nanenane MOROGORO kuna huu mradi wa Star City wenye Viwanja vingi ambavyo havija endelezwa kwasababu mbalimbali! Serikali ya mkoa iingilie kati kwa manufaa ya wengi...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom