Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.
Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga...
Habari wanajamvi wote wa Jamii Forums,
Naomba kushea nao maumivu waliyonayo baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya BAndari Tanzania (TPA) ambao walikutwa na kadhia ya kusimamishwa kazi kwa...
Uongozi wa CHASO yaani Chadema students Organization umeshuhudia uvunjifu wa Sheria unaoenda kufanyika katika chuo cha Mwalimu Nyerere baada ya kufatilia ilo uongozi uliandika barua kwenda kwa...
Mamlaka ichunguze kwa ukaribu huduma zinazotolewa na Ofisi za RITA Kibaha. Kuna mtumishi anaitwa shabani anatengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma. Amekuwa ni mtu wa kuweka vikwazo...
Habari Wadai.
Hili jambo linakera sana watumishi wa halmashauri ya Kilwa hususan walimu wa sekondari. Inashangaza kuona mwalimu kaenea likizo tangu Juni 2021 na katumia nauli yake kwenda likizo...
Kuna tatizo kubwa kwa upande wa biashara ya mafuta, mfano leo 4 March 2025 (kila Jumanne mwanzo wa mwezi, wiki ya kwanza, kabla bei ya mafuta haijatajwa kama itashuka au itapanda), makampuni mengi...
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUNA NINI?
Tumepokea malalamiko kutoka kwa wanafunzi kadhaa walio tarajiwa kuhitimu masomo yao kati ya mwaka2023/2024 kwamba zaidi ya wanafunzi 400 wamekuwa Discontinued...
Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini...
Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa...
Salaam Wakuu,
Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya...
Habari wadau,
Upande wangu niko salama naendelea na vizuri na swaumu ya Ramadhan, japo janga la maji ni kubwa hasa kwa wakazi wa maeneo yanayohudumiwa na mto Ruvu juu kwa huduma ya Dawassa...
Mkandarasi wa huduma ya umeme REA mtaa wa Nyantorotoro A Geita Msikitini kwa juu ametufanyia hujuma sana wananchi. Nguzo za mradi wa umeme zimewekwa kwa kujuana sana kinyume na ramani ya mradi...
Habari za Asubuhi ?
Ninatanguliza shukrani kwa jukwaa hili la fichua UOVU.
Nimewahi kwenda kupata msaada kwenye ofisi ya mtendaji wakata ya Nyaruzumbura , Wilaya Ya kyerwa, Mkoa Kagera...
MALALAMIKO HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
Mikopo ya Mama Samia vilipitishwa vikundi saba kata ya Kibondo Mjini waliitwa wakapewa na semina, wakapiga Picha na kushikishwa mabango kwamba...
Habari Mimi ni kijana nipo Njombe Mjini, Hivi Karibuni Halmashauri ya Mji wa Njombe ilitoa Mikopo Kwa vikundi vya wanawake,Vijana na watu wenye ulemavu zaidi ya Billion 1.8, Kikundi chetu Cha...
Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa...
Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani...
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.
👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.
👉Mkakati wa...
Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ni uwanja wa michezo uliopo katika jiji la Arusha
Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka)na shughuli nyingine...
Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.