Ofisi za TRA Temeke zote ni jipu la kutumbuka kabisa ninafatilia kuchange tin number location kutoka Temeke kwenda Ilala huu sasa ni mwezi wa tatu tangu tarehe 19/12/2025 mpaka sasa sijapata...
Afisa elimu wilaya Sikonge msingi mkoani Tabora ni kiongozi ambae haeleweki kwani maagizo mengi ya serikali amekuwa akiyakaidi huku akijigamba kwamba hakuna atakayeweza kumgusa. Nitaaainisha...
Hapo vip!
Kwanza nianze kwa kumpa pole huyu mwananchi kwasababu viongozi wengi sana wa kiafrika ni watu wanaopenda rushwa,kuabudiwa,kunyenyekewa na kutukunza ila haya yote ni kwasababu ya...
Naomba kutoa taarifa juu ya utapeli wa Mtandaoni unaondelea kupitia account ya facebook inayojiita "HONDA AFRICA LTD" na Chanel ya Whatsapp inayojiita "HONDA AFRICA MOTORS"
Binafsi ninayeandika...
Sifahamu kama serikali ya Samia inathamini wananchi wa mikoa hii miwili katika suala la kupata habari kutoka chombo cha umma ambacho kodi zao zinachangia kukiendesha.
Usikivu wa TBC ni wa hovyo...
Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi.
Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye...
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake.
Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi...
Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane...
Muajiri chuo cha Afya City College Mwanza hapeleki michango ya watumishi wake NSSF wala hajajiandikisha NSSF kwa kigezo kua waajiriwa wake wanalipiwa
Na City College Kigamboni kitu ambacho sio...
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA.
Mfumo huo ambao...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasan, Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mkurugenzi Mkuu Dkt. Irene Isaka pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa...
Naomba Meneja wa gongo la Mboto tusaidie kupata transforma kubwa tuna low voltage magole kitunda kwa mpemba mchafu. Tuna mwaka mzima umeme ni mdogo hata friji haziwezi kuwa. Tafadhali, jamii forum...
Habari za leo Mdau, naomba utusaidie kupaza sauti iwafikie taasisi ya OSHA.
Wanavyuo wa NIT, Ardhi na Chuo cha Maji 2024 tulilipia pesa 30,000 kwaajiri ya mafunzo semina ya Usalama mahala pa kazi...
mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill...
Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin...
Mgogoro Longido Milioni 131 zapotea .
Zaidi ya Vijana 600 kutoka katika kijiji cha cha Ngereyeni kata ya Tingatinga wilayani Longido wamevyaamia makao makuu ya ofisi na kuharibu mali ya jumuiya...
Hii ni hatari kwa usalama endapo Bomba hili litapasuka Na ni uhujumu uchumi kama Kuna wizi wa maji. Kuna mtu hapa Kibamba Hospitali, ni mfugaji wa Samaki amefungia Bomba lenu kubwa ndani ya ukuta...
Gari la Kigamboni mwasonga to Kibada linatumia mafuta ndani ya kidumu cha gallon ndani ya gari, hata likiingia sheli wanaweka mafuta kwa ndani. Hii ni hatari kwa usalama.
Gari hili linafanya...
Habari wanajamvi,
Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna...
Habarini jamvini,
Bado Hali ni mbaya mnoo na ya hatari Kwa wakazi wa vijiji vya LUMEMO, MAHUTANGA KIKWETA, IFOZA, KATINDIUKA IFAKARA kutokana na MAGENGE ya uhalifu wa MTANDAONI walioweka makazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.