Naandika hii taarifa kwa niaba ya wafanyakazi wa Uhuru Publications Limited ambao wapo na wale ambao walishaondoka hata waliokufa pia, pamoja na wastaafu.
Kampuni hiyo yenye gazeti la Uhuru na...
Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na viunga vyake hakika umeme umekuwa ni bidhaa ya anasa na aghari mno kuipata!
Kuanzia Benaco, Ngara yenyewe hadi Rusumo umeme umekuwa ukiwaka kwa masaa yasiyozidi...
Ndugu Wazazi kuweni makini sana na watoto wenu wanaosoma shule za binafsi kwa sababu kuna mtoto wa rafiki yangu yupo darasa la nne shule X walikuwa wanafanya mtihani wa darasa la nne WILAYA sasa...
Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo Mbande Chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji...
Hakuna kitu kinakera kama kila saa na kila siku unakamatwa na traffic hata kama huna kosa watakutafutia visababu.
Hawa jamaa ni watu wa hovyo sana, ndo maana huishia kufa masikini, kinachowatesa...
Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania,
Dawasa ni Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam, ikiwa na mikoa ya kihuduma mbalimbali likiwamo tawi letu la...
Mheshimiwa Jaji Kiongozi.
Mahakama ni taasisi nyeti sana katika muunganiko wa Mihimili ya Nchi. Lakini inapotokea mfanyakazi mmoja anaichafua Taasisi hiyo inabidi sisi waathirika tuseme kusudi...
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo...
Hivi majuzi Serikali ilipatiwa msaada wa vishkwambi kwaajili ya zoezi la sensa kutoka korea ambapo balozi wa Korea nchini Tanzania alivikabizi Kwa waziri mkuu na tayari vimeanza kufanyia kazi...
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo...
Mtaani kwetu Manzese kuna tatizo kubwa la rushwa.
Yawezekana wengine mkaliona dogo lakini kwa watu wa chini ni maumivu makubwa iko hivi.
Kila mwezi kwenye baadhi ya serikali za mitaa ya kata ya...
Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that...
Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona...
Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika...
Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500...
Mpendwa rais SSH,
Leo naomba niseme kwa ufupi haraka kuwa kuna jipu ambalo lilimshinda mtangulizi wako kwa sababu ambazo hazijulikani.
Jipu hili si jingine basi Lugumi. Huyu bwana aliiba pesa...
Salamu wakuu,
Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana.
Wanauza bidhaa...
Awali natoa pongezi kwa serikali kwa kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuyaondoa majukumu ya udhibiti ubora wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyahamishia TBS. Ni hatua nzuri ktk...
Nashindwa kuelewa hii bodi ya wakurugenzi ya NMB, mbona mpo kimya sana na mambo yanayoendelea NMB kwasasa.
Huyu mtu anayeitwa Pete Novat amekuwa na madaraka makubwa sana kaachiwa na huyu Mama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.