Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili.
Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara...
Utapeli wa mtandaoni ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kuna aina nyingi sana huu utapeli wa huko mitandaoni. Ukiachana na wale wazee wa "Hiyo pesa tuma kwenye namba hii", kuna huu utapeli mpya...
Wakuu angalieni vizuri statement za watu wa loan Board hasa wale wanaokaribia kumaliza deni, Kuna watu wanazifanyia adjustment, Sijui kwa malengo gani hapo Bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Wenye...
Usiku wa jana kuamkia leo 7/10 saa nane, wakazi wa Mabibo mtaa wa Jitegemee walivamiwa na panya road, bado hakuna taarifa rasmi kwa upotevu wa mali na majeruhi.
Baada ya taarifa kuwa polisi...
Wakuu hivi tuseme hizi media zimeishiwa mbinu za kutafuta pesa au wanA wawezesha wasikilizaji?
Kumekuwa na mchezo mmoja saizi naona unasambaa kwenye kila redio.
Unakuta watangazaji wanasema tuma...
Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za...
Wakuu uzima upo kwenu?
Leo niseme kero tuliyo nayo waajiriwa wapya wa ajira za afya kwa mwaka 2022. Viongozi wetu mbona hatuwaelewi inakuaje mtu aliye pangwa kituo cha kazi toka mwezi wa 6 mpaka...
Wakuu naongea kwa ushahidi kabisa kilipo kituo kikuu cha Polisi Arusha kuna kamsitu pembeni na ndani ya hako kamsitu kuna njia za waenda kwa miguu wanapita basi imegeuka fursa kwa vibaka na mateja...
Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi
Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu...
Salaam Wakuu,
Jamani tunaomba msaada, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atatutoa roho.
Baada ya rais Samia kuingia Madarakani, wale watu wa pesa inaongea Wamerudi kwa kasi ya...
Naam! Nadhani inajulikana kuwa Innocent Bashungwa ni Waziri wa TAMISEMI.
TAMISEMI iliweka utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma, mfano walimu wanapotaka kuhama vituo vyao vya kazi, sharti...
Je, huu ni ubunifu au kuwakomoa wazazi? Kinachoendelea katika shule ya Sekondari Mbande ni kitu cha kutizamwa kwa Jicho la kipekee kwa kuwa kina madhara yake na kisipozungumzwa na kutolewa maamuzi...
CDF Mkunda kwanza kabisa hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi.Najua unachangamoto kubwa Sana ya kubadili mfumo mbovu wa ajira au uandikishaji wa vijana JWTZ mfumo ambao uliopita ulikua ni...
Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua...
Leo mke wangu ameenda kubadilisha kipandikizi katika kituo hiki Cha Afya Utegi, huduma hiyo ni ya bure, Cha ajabu wauguzi wakasema hawana vifaa mpaka atoe hela. Vifaa hivyo ni ganzi na kiwembe...
Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa...
Narudia kuandika tena,
Ifikie hatua muwe waelewa huwezi kujifanya una calculator ya kodi kwenye magari ambapo kodi yenyewe unatoza asilimia 80% hadi 100% ya manunuzi hii sio sawa.
Kwa mikodi...
Huu ni mtindo mpya ambao Airtel wamebuni ili kuwaibia wateja, tumezoea kuibiwa MB's zetu zinapunguzwa kiaina na wakati mwingine unapokea meseji kuwa bando limeisha hata kabla halijaisha au...
Ni jambo la kushangaza wanafunzi kufanyishwa kazi za kubeba magogo na kuchoma mkaa kwa ajili ya waalimu wao.
Lugufu girls high school iko Wilaya Uvinza na kabla ya shule hii kuanzishwa ilikuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.