Habari ndugu zangu?
Naomba niseme haya ili wenye mamlaka wawachukulie hatua ikiwemo waziri wa mambo ya ndani na IGP nk.
Ifakara na Lupiro ipo mkoa wa Morogoro.
Iko hivi trafiki wa Ifakara hasa...
Sina muda wa kueleza sana, nimechoka.
Mmeajiri madaktari vijana wanakaa wanapiga story tu vyumbani badala ya kuhudumia wagonjwa. Watu tumekaa zaidi ya lisaa tunasikia wanachekacheka tu ndani na...
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?
Kuna tatizo gani ambalo...
Wadau,
Mara kadhaa kwa sababu za kijiografia imekuwa ikinilazimu kupata huduma za NHIF katika ofisi zile zilizo bandarini, kwa kweli huduma za pale mapokezi ambao pia ndio wanaopokea fomu na...
Wakuu, salama?
Hili suala la rushwa ya ngono imezidi chuo cha SAUT tawi la Tabora hadi kufikia mkufunzi kumuhakikishia mwanafunzi asipotoa rushwa ya ngono hatograduate!
Kibaya zaidi kiongozi wa...
Habari wadau.
Niende moja kwa moja kwenye hoja. Kuna kikundi Cha porters (wabeba mizigo) Kiko Arusha Airport, Wanawabebea wageni mabegi kama msaada saa wakishushwa na magari kuwasogezea kwenye...
Kwenye mapungufu lazima tuseme na moja la pungufu kwa Idara ya Uhamiaji ni huduma mbovu si kwa wageni pekee hata kwa Watanzania.
Idara hii imekuwa ikifanya shughuli zake kwa maringo na kujisikia...
Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo?
Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara...
Wakuu
Katika kipindi HIKI cha ujenzi wa madarasa nchini unaoendelea, nimefanya mazungumzo na mafundi wakuu na wakuu wa shule mbalimbali na kukutana na malalamiko kuhusu mlolongo mrefu sana wa...
KCMC imebaki jina tu, hospitali hii pendwa kwa miongo kadhaa sasa nakiri mbele ya umma, labda nipelekwe sijitambui ila kwa huduma nilizopata na kushuhudia kwa wateja wengne, hakika huu ndio mwisho...
Ndugu zangu kuna mgogoro wa ardhi unaondelea hivi sasa maeneo ya Majoe na mtu anayedai kwemba hilo ni eneo lake. Mwanzoni mwa mwezi huu zaidi ya nyumba 48 wakazi wake walitolewa kwenye nyumba...
Wana JF
Nimetimiza wajibu wangu kuleta taarifa binafsi baada ya kuridhika na uchunguzi nilioufanya juu ya uzembe wa TCRA na Wizara ya Mawasiliano na usimamizi wa makampuni yanayotoa huduma za...
Wafanyakazi hawa wa TAZARA hawajali kabisa wateja, wanawatukana na kuwafukuza kama watoto.
Jana nimeenda TAZARA kwa ajili ya 'booking' ya mzigo, nimefika pale ofisi za mzigo TAZARA...
Nimeshuhudia mzigo mkubwa wa mayai yanavuka mpaka wa Mtukula na kuingia nchini. Nilivyojaribu kuuliza wenyeji nikaambiwa maboss wa vitengo vya Usalama na ukusanyaji kodi wapo kwenye payroll ya...
Mimi ni fundi ujenzi wa kiwango cha kati nina vijana wa kazi 20,
MSAADA
september 2022, mwekezaji Mzawa alipewa eneo la wazi Ununio Beach na mmiliki Halmashauri ya manispaa kinondoni kwa kufuata...
Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote...
Tulipewa kazi ya kufanya makala na Taasisi ya WATED, ambapo ilifanyika mkoani Tanga, na ilitakiwa tulipwe na taasisi ya WATED wakishalipwa na Shirika la OHCHR ( Office of the United Nations High...
Mara ya kwanza nilipoandika uzi kuhusu kunguni katika meli yetu pendwa ya MV Victoria, ulifutwa mara moja.
Naomba admin mjue sisi abiria ndo tunaumia. Wingi wa kunguni hata Jela haifui dafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.