Ndugu zangu GT nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya salamu niingie moja kwa moja kwenye mada.
Nisikitike kwamba Serikali yetu ya JMT chini ya Jemedari wetu mwana mama...
Wakuu,
Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi...
Wakuu!
Jana asubuhi nilikuwa maeneo ya Kimara Temboni Upande wa kuelekea Mbezi huwa zinapaki Bajaji pamoja na Bodaboda kwa wingi, Kwa ndani kidogo kuna round about halafu kuna Mgahawa, nilienda...
Zimepita siku mbili sasa sina huduma ya maji, hii ni baada ya kuibiwa mita ya maji na wezi usiku. Walifika wakafungua mita ya maji kisha wakaondoka nayo, tumekuja shituka asubuhi tunakuta maji...
Kuna taarifa mbaya toka Kijiji cha Sota, Kata ya Tai ,Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho na mgambo wake wanatuhumiwa kumpiga hadi kufa ndugu Justine Chagwa Oliech na...
Ni dhahiri kabisa TTCL inahujumiwa meneja masoko TTCL achunguzwe ikibidi afukuzwe kazi!
Hili shirika ni dhahiri linahujumiwa kwa maksudi, ni aibu kwa shirika kama hili ambalo linatumia mabilioni...
Kijana Laurence Nicholaus Mwangake mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Rohila iliyopo Mbalizi Mkoani Mbeya amelazwa Hospitali ya Ifisi ikidaiwa amejeruhiwa vibaya na Walimu...
Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu...
Ni mwaka mmoja umepita hivi sasa, lakini hali ya barabara ya mtaa wa Chato inaleta utata kati ya wananchi na wakandarasi. Urefu wa barabara hii ni mita 600. Imekuwaje mpaka leo hii barabara...
Baba mmoja aliyefahamika kwa majina kama Dickson Chilongola anadaiwa kumbaka binti yake wa miaka 10 hata hivyo baadhi ya Polisi wanatuhumiwa kumlinda na sasa mshukiwa kwa sasa yuko nje kwa dhamana...
Ndani ya Mwezi Mmoja kumeokotwa Maiti Nne (4) moja ikiwa ni ya Mwanamke na zote zimetobolewa Macho.
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba Kituo cha Police Kawe kipo Jirani na eneo (vichaka) husika na...
Wandugu Salaam,
Juzi pale hospitali Msoga Madaktari wamepokea mgonjwa aliekuwa anatapika na kuharisha Damu sana na haraka walipomchukua maelezo wakabaini jambo.
Huyu mgonjwa alipata tatizo...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nililipia Tsh.183,000 tarehe 3 Novemba mwaka huu kama malipo ya awali ili wanifungie Sola ya Watt 120 hapa nyumbani kwetu Simiyu.
Leo ni tarehe 5 Disemba...
Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk.
Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh...
Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution.
Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo...
JMT; Kazi iendelee.
Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma...
Salaam,
Kwanza nianze kwa kumpongeza Aweso kwa namna anavyopambana kuhakikisha maji yanafika kwa wananchi ili kuyafikia malengo ambayo chama na serikali wamejiwekea.
Licha ya haya mapambano...
Habari wakuu, poleni na mjukumu,
Nimekuja kwenu na malalamiko na humu JF Kuna watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza saidia watoto wetu.
Ofisi ya Mikopo chuo cha MUST mpaka sasa haijawaingizia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.