Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Na. Mwandishi Wetu, Kigamboni Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wilaya ya Kigamboni inalalamikiwa na Mfanyabiashara X kwa kuwatorosha watuhumiwa waliokamatwa na kosa la uharibifu wa Mali na kugeuza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
VIONGOZI WA KITENGO CHA ARDHI JIJI LA MWANZA LINATUUMIZA WANACHI WALALA HOI Kada wa CCM Abubakar Hassan Self amemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati mgogogro wake viwanja na...
1 Reactions
1 Replies
851 Views
Wananchi wilayani Arumeru, wametoa malalamiko yao dhidi ya serikali baada kuuziwa mahindi kilo moja kwa sh. 885. Baadhi ya wananchi wameshindwa kununua mahindi hayo kutokana na hali ngumu ya...
2 Reactions
6 Replies
964 Views
Habari! Napenda nielekee Moja kwa Moja kwenye mada husika! Kuna baadhi ya halmashauri viongozi wake ni warasimu sana kitu ambacho kinashusha ari ya ufanyaji kazi kwa watumishi, mfano serikali...
1 Reactions
5 Replies
766 Views
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke haijaweza kutoa leseni za biashara kwa watu waliolipia tayari tangu wiki iliyopita. Binafsi ninasubiria leseni, hivi karibuni baada ya kufuatilia sana mara ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya!! Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu. Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hassanal Damji iliyoko Bagamoyo tunayo masikitiko makubwa...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari Zenu Wakuu. Mimi na wenzangu 11 tulikua tukifanya kazi mgahawa ambao upo Masaki, unaitwa “LE MARAHEB RESTAURANT & more” unamilikiwa na waarabu wa Yemen. Tarehe 28 January, 2022 ilitokea...
14 Reactions
249 Replies
18K Views
Hawa ndo watengenezaji wa Singida oil na Sunola ambazo zinatengenezwa kwa chemical na sio alizeti kama tunavyoaminishwa. Nimeitoa huko twitter hii post naona inasambaa kwa kasi ya upepo. ALERT...
12 Reactions
95 Replies
9K Views
Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na...
29 Reactions
385 Replies
17K Views
Kiukweli Mv Magogoni imechoka imechakaa Ina mwendo wa jongoo inatia aibu sana hii nchi. Nusu saa nzima kutoka Kigamboni hadi Kivukoni. Yani wakati ukipanda unatabasamu unaona naenda paleee mjini...
2 Reactions
11 Replies
962 Views
Kwanza tunashukuru Serikali kwa kutuletea daraja la muda kwa wakazi wa kata ya Mngeta, limetusaidia Sana katika kuepukana na adha ya mto Mngeta hasa hasa Tatizo la Mamba. Hivi karibuni...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Naandika hapa jamiiforums ili kupata msaada baada ya meneja wa campus daktari Ally Zawadi kushindwa kutusaidia. BAADHI YA KERO: 1: UBOVU WA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA Kwa muda sasa, kampasi hii...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana...
3 Reactions
9 Replies
835 Views
Kwangu kituo karibu, rahisi na kwa sasa kinachoaminika ni BP PUMA Tangi Bovu. Nimeenda kuweka mafuta juzi, wakasema mashine ya risiti imegoma. Leo nimeenda tena hapo, bado hawana risiti! Majuzi...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Hii barabara ni kongwe inatokea pugu mnada wa ng’ombe hadi Gongo la mboto, Mombasa Ukonga, Banana, Majumba sita, Airport hadi Vingunguti. Baadhi ya maeneo hasa ikinyesha mvua hapapitiki. Maji...
0 Reactions
4 Replies
391 Views
Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Anaitwa Cherehani ni Mfanyabiashara pekee wa Kuuza Mihogo katika Soko la Kawe na maarufu pia. Tukio Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani wa Soko la Kawe alipanga njama kwa Kushirikiana na Mkewe...
22 Reactions
163 Replies
12K Views
Serikali mnajua kabisa jinsi vumbi la makaa ya mawe ilivyo shida kwa wananchi wake mnatuumiza vifua. Vumbi linatembea zaidi ya kilometer 2 kutoka yanapopakuliwa makaa kuingizwa katika meli. Mitaa...
0 Reactions
7 Replies
738 Views
Back
Top Bottom