Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ni masikitiko makubwa sana vijana wanapambana kupata gpa ila kuna wahuni wachache wanaamua wa kumuajiri wamtakaye, kwanza Mkuu wa Idara mmoja aliwakusanya hao watano Kwa nafasi Tano, wakapewa...
1 Reactions
4 Replies
900 Views
Baadhi ya walimu katika shule ya Sekondari Kitumbeine, wilayani Longido, akiwemo Makamu wa shule hiyo Renatus Mwijage, wamekithiri kwa ulevi na vitendo vya ngono kwa wanafunzi. Madai ya tuhuma...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Corruption is not a bizarre thing in the cursed African community, when you talk of it and happens to wonder of its existence, some members who don't abhor it but merely adore it will treat you...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna kampuni moja inajiita (Seven Siries International) inahusika na huduma ya kupima watu na kuwapa dawa, hii kampuni ina watu maalaum kazi yao ni kushawishi watu waende kupimwa ili kupewa dawa...
0 Reactions
5 Replies
537 Views
Hakika katika wilaya nchini zinazosababisha Tanzania kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ya nchi zenye wanachi wasio na furaha basi hii wilaya ina mchango mkubwa. Barabara ni ya vumbi na mbaya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Mamlaka husika naomba mchukue hatua kwani huyo jamaa hana ethics kabisa za ualimu na elimu kwa ujumla, ni corrupt sana (wakuu wa shule nimashahidi), anawaomba sana hongo na wanampatia kwa...
1 Reactions
12 Replies
955 Views
Salaam Wakuu, Mbeya kuna mwalimu ambaye sina haja ya kumtaja sababu serikali inamjua. Yeye kazi yake ni kutembea na watoto wa kiume kinyume na maumbile. Taarifa zilishatolewa kila sehemu ila...
6 Reactions
75 Replies
6K Views
Habarini wakuu! Ndugu abiria mnaotumia mwendokasi kuwa makini, kuna baadhi ya wanaokatisha tiketi kwenye vituo siyo waaminifu, wanauza tiketi iliyokwisha tumika tayari na wengi wetu hatuangalii...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii nchi imekuwa ya kuchumwa na kunyonywa na wajanja na wengi tumebaki wajinga na kutazama. Huyu Mkandarasi anayejenga hii barabara ni mwehu wa kutupwa sijui ni barabara ambayo ipo chini ya ya...
2 Reactions
4 Replies
833 Views
Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni...
0 Reactions
4 Replies
761 Views
Kila siku ni kilio na majonzi dhidi ya polisi. Haya mambo yataisha lini jamani. ======== MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi...
11 Reactions
90 Replies
9K Views
Tukio la kikatili limeripotiwa kutokea Septemba 7, 2022 majira ya asubuhi Shule ya Sekondari Songwe, Kata ya Bonde la Songwe kwa wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne waliopo shuleni hapo kwa...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Madereva wamegoma kwenda Kijichi wadai hakuna abiria. Manispaa ya Temeke, magari yanayotoka Mkuranga kwenda Mbagala kupitia Kijichi! Madereva wamegoma, wanalalamika unyanyasaji wa Mkurugenzi wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni muda muafaka sasa Airtel ianze kufiatilia wafanyakazi wake ambao sio waaminifu ambao wamekuwa wanagawa siri za wateja kwa matapeli kwa nini nimesema hivyo? Kipindi cha karibuni baada ya...
1 Reactions
9 Replies
972 Views
WAZIRI WA ELIMU TUSAIDIE WHY PRE FORM ONE TUNALIPA 2.5M TO 3.0M Dear walimu wa watoto wetu, Wazazi wote wa wahitimu wa darasa la saba wako wanakimbizana kupata shule bora za watoto wetu. Na hii...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Baadhi ya walimu walioajiriwa mwezi Julai 2022 katika halmashauri mbalimbali nchini hawajapata mishahara yao, wengine hata hela ya kujikimu hawajapata. Maisha ni magumu kila mtu anatambua hilo...
1 Reactions
7 Replies
989 Views
Wana JF, Nimekumbwa na tatizo la kumulikwa na watu wa maegesho. Nilienda kulipia nikashangaa deni linaongezeka kucheck majumuisho nikakuta kuna sehemu ambazo nilipita lakini sikusimama wala...
0 Reactions
2 Replies
516 Views
Kwenu Halmashauri ya mji wa Kibaha, kituo cha utafiti sukari Tumbi na shule ya sekondari Tumbi, kwanini pori linalohifadhi mazingira linachafuliwa kwa kumwagwa uchafu wa taka ngumu, miti inakatwa...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
UDHAIFU KATIKA MAMALAKA YA MAPATO YA TRA SONGWE kumekuwa na utendaji KAZI m'bovu wa mamalaka ya ukusanyaji mapato ya TRA songwe Kwa kudai Kodi zaidi ya makadirio yaliyofanywa Kwa mteja. Ni zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom