Utangulizi
Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo...
Wadau mimi ni rai wa tanzania. Naishi ktk mkoa mmoja miongoni mwa mikoa ya tanzania
Lengo la kuja katika jukwa hili nikutaka kuomba ushauri maana naamini humu kuna wadau wengi wenye dondo ktk...
Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao.
P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
Habari wana Jf
nisiwachoshe tuende moja kwa moja kwenye uzi.
katika mitaa yetu tunayoishi kumekua na tetesi nyingi zinazosambaa zikihusisha na kuelezea maisha ya jeshini(JKT) na kuonekana ni...
Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited.
EFM ni kampuni...
Huu muunganiko ulioanza leo baina ya huu umoja wa makampuni ya ulinzi na hawa vijana wa NETO hakika unatia shaka na uzingatiwe.
Naona kasi ya mahusiano yao imekuwa kubwa na hasa ukizingatia ya...
KWANZA kabisa nianze kwa salam.
Kuna hili wimbi la polisi wanachunguza LBL na kukamata baadhi ya wahusika. Inaweza kuwa hatua nzuri na hapa naomba niwakumbushe Kalyinda.
Mwaka 2022 ulikua...
Habari za mda huu wanajamvi,
Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam.
Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii...
Wakuu
Baada ya kivuko eneo la Busisi kuzingua na kushindwa kutoa huduma, watu wamevunja geti la Daraja la Magufuli, kisha kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo kama video inavyoonesha.
Soma, Pia: Vivuko...
Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa...
1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya...
Wakuu hamjamboni nyote...
Nadhani wote mnamfatilia Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa na Kada Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi, Namna anavyozungumzia uongozi uliopo wa CCM na serikali kwa mtazamo...
Na nasikia Mmoja wao Watu hawataamini kuwa nae kafika Bei kwani katikati mwaka jana alipiganiwa na kuonewa mno Huruma lakini huyo huyo kaamua Kusaliti na Kufika Bei.
Wengine Wawili waliobakia...
Kutokana na hatua kadhaa zilizoanza kuchukuliwa na BOT, Hawa Branch nao wameanza kusitisha huduma za mikopo kwa wateja wengi haswa Watanzania kwa kisingizio kama Cha Tala, kuwa wanafanyia...
1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.
2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati...
Hii sio habari ya udaku.
Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki.
Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini.
Kama mjuavyo...
Kumekucha. Ni neno pekee utakaloweza kulitumia kwa sasa. Yule mfalme wa biashara zote, Said salim Bakhresa anaingia barabarani rasmi muda sio mrefu.
Anaanza na Dar hadi Arusha, Dar hadi Dodoma na...
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu...
Kuna taarifa mitaani zinazagaa kuwa Mchungaji Moses Magembe wa Tanzania Assemblies of God kajiondoa mwenyewe kwenye hilo kanisa kuendelea na maono yake kwingine
Je taarifa hizo ni kweli?
Habari Wakuu wa JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi.
Kuna mambo kadhaa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.