Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku!
Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar!
Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata...
Kuna chuo fulani hapa dar kikubwa tu wameweka namba yangu ya simu kwenye matangazo yao ya biashara ya chuo hicho namimi sifanyi kazi wala sijawahi kusoma kwenye chuo hicho!
Sasa kifupi imekuwa...
😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu!
Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa...
Kutoka Mtandao wa X (Twitter)
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na...
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa mgombea wa chama cha Republican Donald Trump amepata kura 198 za wajumbe wa kamati maalum ya uchaguzi nchini Marekani, ambayo inamchagua Rais maarufu kama...
Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku.
Wakiwa katika...
Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa...
Apple has just launched the iPhone 15, but the rumour mill is already churning for the iPhone 16. The series is expected to bring significant upgrades and improvements compared to its...
Habari,
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri pamoja na harakati za ujenzi wa taifa letu la Tanzania.
Nia ya uzi huu ni kukumbusha na kuamsha makampuni ya simu yanayotoa huduma za kifedha hasa...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana
Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa
Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya...
Ndugu wanajamvi!
Pokeeni salamu zangu
Juzi nilikuwa mkoa wa.mwanza tena center kwenye kijiwe flani.
Nikawa namsikia mtendaji mmoja anaongea na mtendaji mwenzake
Kwamba wamepewa barua za...
"kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?"
Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo...
Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, ikiwa ni pamoja na pasi maalumu za kusafiria, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa...
Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu...
Habarini wakuu? Bila kupoteza muda ningependa tujuzane je kuna ukweli wowote juu ya uwepo wa nchi iitwayo giningi, Kwa wale waliobahatika kusoma kitabu kinachoitwa KIVULI KINAISHI cha mwandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.