Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
Habari wana jamvi.
Naomba kuwasilisha mada hii kuviomba vyama vya Upinzani vipaze sauti kuhusu utaratibu mbovu ambao kwa sasa Halmashauri nyingi Nchini wanafanya kutoa mikopo kwa kigezo cha kuwa...
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini...
Maafisa elimu mkoa, mpaka Wilaya hawana majibu, Wakurugenzi wa Halmashauri hawana majibu, wakuu wa mikoa mpaka wilaya hawana majibu, makatibu tawala hawana majibu, wabunge hawana majibu, zaidi ya...
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana...
Kwa taarifa za kuaminika kutoka Kagera wilaya Karagwe inasema watu wengi wenye asili ya Rwanda wananyanganywa vitambulisho hata kama watoto wamezaliwa hapa na wazazi wao wamezaliwa hapa nchini...
Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki...
"We have been caught in a shootout at Kilimanjaro International Airpot. We have no idea what it is all about. It was quite a firefight. Stopped now but staff are nowhere to be seen."
Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya...
Kufuatia operesheni ya kukamata plate number za 3D, habari kutoka vyanzo visivyotaka vitambulike ni kuwa, camera za polisi zile maarafu kwa kuwakamata wadaiwa sugu wa traffic fines!
Zinashindwa...
Habarini wana jamvi, natumaini mko poa sana.
Leo katika mishe zangu ikaingia sms ya tozo, ikiwa na jina la PAYROLL LEDGER FEE na baadaye ikaja na ya VAT. Sasa nikapiga simu kwa bank husika kujua...
Kama Uzi unavyojieleza. Chama Cha walimu Tanzania (CWT), kimeanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Ninaomba wanachama wa CWT waeleze faida za CWT Kwa wanachama wao ambao ni walimu
Pili ninaomba...
Habari za jioni.
Walimu kadhaa waliohamishwa wakiwemo walimu wa Parakuyo primary school ambao shule yao imetwaliwa na mamlaka ya Handeni Mji kutokana na mabadiliko ya kimipaka yaliyomalizwa tangu...
Ole wako unayenunua simu ya kiganjani kwa mtu badala ya dukani.
Wengi wanatambia simu za mkopo na wanaoshindwa kumaliza mkopo baadhi yao hujitoa akili kwa kuziuza na kutokomea.
Makampuni ya simu...
Wakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.
Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
Nimesikia tetesi za kampuni ya mabasi ya Abood kuanzisha safari mpya za mkoa wa Kagera.
Naomba mwenye taarifa juu ya tetesi hizi anifahamishe.
Safari zitaanza lini?
Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo. Je, kuna ukweli wowote?
MFANYABIASHARA Happy Mboya (38) aliyefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala, Jumapili, Desemba 16 na kupangwa kusafirishwa jana kwenda Moshi kwa mazishi leo, mwili wake umezuiwa kutoka...
Tunaishi ndani ya dunia iliyo ndani ya begi dogo mno ni kiasi cha mistake ndogo tu tunaiacha dunia, twende pamoja....
Fununu kuhusu sanduku hilo...
Sanduku hili ndilo inaloitwa black Box ama...
Kuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani.
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.