Jambo Jambo?
Watu wanaweza kudhani pengine ni hadithi ya kusadikika lakini la hasha,Ni kweli baada ya kupokea taarifa hizi kwa mmoja wa viongozi wanaohusika na kuhesabu mtonyo.Iko hivi;
Nina...
Mradi wa Bomba la Uganda na Tanzania wa Hoima Hadi Tanga unaendelea kukumbwa na misukosuko kufuatia taarifa za kujitoa Kwa Benki 9 kati ya 10 ambazo ni washirika na zilikuwa zitoe Fedha za mkopo...
Unataka kujua utakufa mwaka gani?
Unataka kujua umebakiza miaka mingapi kufa?
Huhitaji kwenda kwa babu. Unaweza kujua yote hayo kwa kutumia smart phone yako.
Unataka kujua inavyo kuwa? Just...
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa...
Wanajamvi kwema.....
Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu...
BENKI KUU KUZUIA WAFANYAKAZI WAKE KUJIUNGA NA OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA
Katika mazungumzo na mfanyakazi mmoja wa benki kuu ya Tanzania ambae ni mhitimu wa masomo ya shahada ya uzamivu katika...
Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne ...
Baada ya Salimu Kikeke kutangaza rasmi kustaafu kazi ya utangazaji pale BBC swali kubwa lilikua nani mrithi wake?
Kutoka The Citizen Tv ya nchini Kenya hadi BBC ni ndugu Waihiga Mwaura(38) ambaye...
Wana jicho latatu someni mnielewe....
Iko hivi kila Mali inayo toka nje ya Taifa unahitaji ukwasi wa pesa ya kigeni mmenipata hapo wanazengo?
Sasa hawa Mawaziri au waziri wana push agenda ya...
Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri,
Kwanza kabisa mimi na raia mwema na sina nia ya kukwepa ushuru wa tarura tena ukizangitia fees zao ni ndogo sana kwa sasa (reasonable).
Niendelee, leo nimeangalia...
Mwenye taarifa ya ajali ya gari ya IT iliyotokea Mdaula nmesikia ilikuwa na abiria wa 5 hajatoka hata mmoja, nilikutana na foleni kubwa hapo saa 10 alfajiri
Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts...
Habari!
Niende moja Kwa moja maada, habari kutoka kwa wahusika, hali ya kifedha vyuo vikuu Tanzania so njema, inasemekana, ndaki, skuli, idara toka mwaka jana mwezi Juni hawapati pesa za...
Itakumbukwa katika sherehe za Mei mosi mwaka huu Mh. Rais aliahidi kurudisha annual increment kuanzia mwaka huu wa fedha. Nyongeza hiyo ya mwaka ilisimama kwa muda mrefu!
"Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.