Ni bwana Oezeama kama sikosei.
Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa...
Habari za mapumziko,
Inasemekana walioiba Silaha kwenye ofisi za TAKUKURU huko Handeni ni maafisa TAKUKURU wenyewe.
Chanzo chetu kutoka Handeni kinasema maafisa hao wakishirikiana na watu wa...
Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january
Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa
Halafu...
Agro Eco Energy alijiondoa kwenye mradi wa sukari wa Bagamoyo 2015, huyu aliyeikamata ndege yetu ni nani? Mwigulu Nchemba tunahitaji majibu hapa.
Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la tarehe 21...
Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture...
Katika kuunga mkono mafanikio shirika la ndege la Qantas (Australia), wamekusudia kuanza safari za Sydney -Zanzibar kupitia Kilimanjaro ili kukuza utalii na Uchumi wa buluu.
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Manchali Kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, wametoa wito kwa Watanzania hasa wa Vijijini, kutumia vyema akiba ya chakula waliyonayo, ikiwemo kuwa...
Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea:
"Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege...
DAR ES SALAAM: Kampuni ya JESHI SUMA JKT inayomiliki walinzi Dar es salaam na mikoani, imelalamikiwa na watu mbalimbali kuhusu rushwa.
Walinzi wa kampuni hiyo hasa wa UTUMISHI-DAR ES SALAAM, pale...
Bado kidonda cha Kalyinda hakijapona kwa Watanzania wengi, Tayari kuna tetesi na dalili zote za kipigo kizito kwa Watanzania wengine waliojiunga kwenye mchongo Pacha wa Kalyinda uitwao Bestei...
Kwa tuliokulia mikoa mingine mkoa wa Kilimanjaro tulikuwa tukiusikia Kwa redio na kuhisi ni Ulaya ndogo, hata wenyeji wa Mkoa huo tulipokutana nao jijini Dsm tuliona ni watu waliostaarabika sana...
Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta,
Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za...
Zipo tetesi Kwaya hii maarufu inajiandaa kukwea pipa mpaka London kufuatia mwaliko ili kuwafariji wafiwa huko! Tunashukuru IEBC kwa kutupaisha kimataifa
Kumekucha.
Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao, tayari yamewakuta:
Habari hii kwa sasa inazunguka kama moto wa nyika.
Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati, hadi...
Baadhi ya wilaya wanaoenda kujiandikisha kupata kunufaika na pembejeo wanaambiwa wawe na laini ya Voda na wanatakiwa kupiga picha.
Mh wWaziri wa Kilimo tunaomba ufafanuzi upya kuhusu utaratibu...
Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma.
Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa...
Sherehe za wafanyakazi (Mei mosi) zinasimamiwa na vyama vya wafanyakazi zikiratibiwa na TUCTA.
Sherehe za wafanyabiashara sabasaba zinaratibiwa na TANTRED NA TCCIA.
Sherehe za wakulima (wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.