Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji.
Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan...
Nimeonana na mwanadada mmoja aliyeajiliwa hospitli ya serikali, idara ya afya akasema wamerudishwa nyumbani kwa vile serikali haina fedha ya kuwalipa kwa sasa.
Je taarifa hii ni kweli?
Kuna tetesi zinadai kwamba yule jamaa aliyetumwa na bashite kumtolea bastora Nnape Nnauye Ndio huyo hapo nyuma ya viongozi wa Chadema wkt wanapelekwa mahakamani.
Kwanini yuko hapo ? Yeye ni nani...
Mwanadada Twaiba classic amekiri kutapeliwa na mwanadada Khadija Naif zaidi ya Tsh milioni mia sita. Wawili hawa walikutana Instagram na kuwa marafiki
Twaiba hakuwa na hofu nae.
Alimuambia...
Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu. Tetesi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao...
Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu. Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.
Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima...
Waziri wa Afya wa Kenya amethibitisha kuwa kuna meli yenye shehena ya Radioactive imepita Kenya na inaelekea Tanzania. Je serikali ya Tanzania inataarifa ya meli hiyo?
====
Kenya secures...
Habari zenu ndugu zanguni wa Jamii forum,Nina tv yangu nyumbani aina ya Sing sung inchi 21 lakin nashangaa tangu juzi tv yangu haionyeshi kabisa ila kitaa cha kuonyesha on kinawaka je tatizo lake...
Habari za mchana Wadau!
Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari.
Sababu inaonekana...
Hii ndio habari iliyoko mtandaoni kwa sasa kuhusu lile tawi jipya liliofunguliwa hivi karibuni huko maeneno fulani ambapo japo mwanzo ni mgumu,lakini mwanzo huo unaonekana si dalili njema hata...
Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili...
Wanabodi
Kama isomavyo "tetesi", nikiwa mazingira ya butimba chuoni leo kwa usafiri wa bodaboda, nimetaarifiwa kwamba wakati wanachuo wakiwa mchaka mchaka alfajiri, baadhi yao wamegongwa na...
Nimesikia Milio ya risasi maeneo ya Moroco kama mara nne hivi nipo maeneo ya shoppers hapa at this moment nasikia ving'ora shida ni nini wadau?
Usalama upo Kweli?
Ukiogopa sana lawama, hutaishi kuyafurahia maisha yako. Kumbuka, kuishi ni mara moja tu hapa duniani, na kuishi ni lawama. Lawama ni kwa walio hai, sifa ni kwa marehemu.Weekend ya lawama sana hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.